Wanaume, safisheni nyeti zenu jamani

Weka picha za maeneo yako kwanza, isije kuwa we mwenyewe mchafu!
 
Duuh!!inaonekana wanaume wote uliokutana nao walikua hivyo,na wewe upo hivyo pia,ndege wanao fanana hupaa kundi moja so sio wanaume wote.
 
hivi ukizama chumvini unalamba na kumeza au
 

Njoo kwangu me kijana handsome na hizo sehemu nanyoa almost kila cku yani ni smooth kama upara, usilalamike sana monicca
 
Mmmh! hili nao ni la kuja hapa? Si umnyoe sweetie wako badala ya kuja kumsema huku!
 
Tabia ya usafi haina jinsia ni wote wake kwa waume,na kwa thread hii kwa vyovyote vile mlengwa hapa ni mtu uliye naye kwenye mahusiano kwa sasa.Nakushauri ni bora huyo jamaa yako umwambie direct la sivyo ataendelea kukukera.
 
Jaman hata nyie wakike sio tu kufua chupi ila huko chin mhhh paka mtu unaomba sense akaoge kila baada ya moja mhh sasa paka mtu aneza kuona huwez mambo lakin tuuuu sio kwa harufu hiyoo
 
Karne hii ambayo kila kitu kipo,unanukaje boxer,unanukaje sox,unanukaje kwapa,roll on zote!
Uchafu wa asili huo
 
nani ankuambia unyonyeeee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…