asmaa80
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 1,562
- 1,754
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha ha ha ha we kiboko, HUJAMPENDA NDO MANA UNASEMA HIVYO, Hivi ukiambiwa mwanaume ni kama mtoto unadhani kivipi? Unavyomfulia, na kumpikia je?? si ni jibaba zima si afanye mwenyewe, vipi unavyompigia pasi na muda mwengine kumchagulia chakuvaa?? Na kwa taarifa yako hiyo kazi ya kunyoa si yako hata yeye anapaswa kufanya hivyo..HASA HUYO WAKO MCHAFU NDO MNAJIWEKEA KAMA KILA WEEEK AU KILA WEEK 2 KUTEGEMEA NA UKUAJI WA HUO UCHAFU 😀😀😀😀Naanzaje kulinyoa baba zima na ndevu zake?
Hahahaha!! Mnanyoana ndio mtindo!!Naanzaje kulinyoa baba zima na ndevu zake?
Alishasema wanaume, unajua idadi ya wanaume anao....... Ambao ametaka wawe wasafi? Angekuwa ni mme ushauri ungefaa, sasa yeye kasema wanaume.Umeshauriwa kitu kizuri kwani mwanaume anahitaji matunzo kama ana nuka na hanyoi inabidi umfanyie ukarabati wewe maana akitoka nje mchafu watu watakushangaa wewe
Hakika...miss blossom.Mapenzi ndo kama hvyo kuhudumiana wenyewe wanasema mwanaume ni kama mtto
Hakuna mwanaume anaenuka,labda kunukia,tujaribu,mimi mwanaume nisisafishe huko kijijini kwa wiki moja nzima na wewe m/mke usisafishe huko kijijini kwa siku moja tu masaa 24 then tuvue na tuone nani atamkimbia mwenzieEnyi wanaume acheni uchafu, jitahid angalau mfue boxer zenu kila Siku , nyoeni makwapa na kwenye madushe yenu.
Harufu mbaya mnayotoa tuwapo faraghani ni matokeo ya kutofua hizi chu..pi zenu na kutonyoa hayo manyoa sehemu zenu za kujificha.
Uhandsome ni pamoja na usafi.
Wewe ambaye ni mtafutaji yaani siyo golikipa unatafuta kwa wafulana wachafu? Wasafishe sasa hao wavulana au kama vipi rudi kuwa "golikipa"Kazi ya kunyoa midume inafanywa na wanawake magorikipa
Ila kuna wadada huwa mnanuka shombo sijui mnapuliziaga spray gani kwenye hizo papuchi. Yani ukimaliza speed ya kwanza kuogaEnyi wanaume acheni uchafu, jitahid angalau mfue boxer zenu kila Siku , nyoeni makwapa na kwenye madushe yenu.
Harufu mbaya mnayotoa tuwapo faraghani ni matokeo ya kutofua hizi chu..pi zenu na kutonyoa hayo manyoa sehemu zenu za kujificha.
Uhandsome ni pamoja na usafi.
sanaaa, mwanaume matunzo na utafurahia kuwa nayeHakika...miss blossom.
Utakuwa sijui unatokea Tanga vile?
Hope hata shemeji huwa anafurahia sana kuwa na wewe.
Ana haki ya kufanya hivyo maana alimpata humu jf,na kila hatua ya mahusiano yao amekuwa akiiweka wazi humu jf. Hivyo huu ni mwendelezo wa historia yake na Mr. Right wake!Umeamua kumchafua mumeo this week,.. Mmekosana chumbani, unakuja kumuumbua jf, hakika mke usimpe siri zako ukamuamini...
Kama hamfanani ulienda nae ili?Enyi wanaume acheni uchafu, jitahid angalau mfue boxer zenu kila Siku , nyoeni makwapa na kwenye madushe yenu.
Harufu mbaya mnayotoa tuwapo faraghani ni matokeo ya kutofua hizi chu..pi zenu na kutonyoa hayo manyoa sehemu zenu za kujificha.
Uhandsome ni pamoja na usafi.