Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Kabisa na huu ndio ukweli wenyewe.

Na ndio maana huwa nawashangaa sana wale wanaolalamikaga eti "mke ana kazi yake lakini bado ananiomba pesa yangu"

Ni wakati sasa turudi kwenye uhalisia kama nature inavyo tuambia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke kufanya kazi Ni ziada...
Ameumbwa kufanya majukumu ya familia..

Mwanaume kutoa ni lazima.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa we nawe unataka kusema kwamba eti umelima mashamba maheka na maheka jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana na haya malipo stahiki kutoka kwa mwanamke, hakuna malipo mengine zaidi ya haya.. mwanaume ana haki ya kulalamika tu endapo kama atayakosa haya kwa mwanandani wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa we nawe unataka kusema kwamba eti umelima mashamba maheka na maheka jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unanichukulia poa eeeh?
Nimeshiriki shughuli za kilimo kwa kupanda,kuweka mbolea na kuvuna.

Bado msimamo wangu Ni ule ule, mwanaume haitakiwi aijue dar tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakuelewa, nimeona nikuache tu.

Natamani hii ligi angekuwa nayo mtu mwingine ambaye naweza kumwambia kwa maneno magumu.

Nakushauri tu kuangalia maisha katika pande zote, usijifungie kwenye shida tu.
Kulima sio shida,
Na huko mikoani sio kwamba wanakaa wanalima muda wote.

Kuwa huru kunambia kwa maneno yoyote Yale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1303][emoji1303][emoji1303][emoji1303]Asante sana wife material

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo mfano kama mwanaume anaijua Dar tu na miji mingine mikubwa duniani nje ya Tanzania halijui jembe na ana pesa mob tu napo kuna kitu anakosa enh??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zaburi inasema fedha ni ulinzi kama vile hekima. Kitu cha msingi tuwe na fair trade nakuhudumia nihudumie pia sio natimiza mahitaji yako then yangu yako pending hiyo mbaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika mahusiano Mwanaume anahitaji loyalty tu ya mwanamke wakati huo mwanamke huduma tu kutoka kwa mume basiiii. Kwa sisi waafidhina tunaamini hivi viwili kila mmoja akivitimiza basi mahusiano hayo lazima yawe ni yenye afya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitakua na mpenzi mpaka shilingi zikipatikana asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…