Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Ukinifanyia hivyo, na mimi siku tukivamiwa na vibaka basi hao vibaka tutashirikiana kupigana nao wote na wala usilete habari za kujificha uvunguni[emoji2957][emoji2957]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee miaka 29?
Na mtazamo wako Ni huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana nia huyu mtu. kila siku anataka kuonewa huruma kutongoza hataki anaogopa na asema kabisa kuwa hana ujasiri. Hakuna huruma kwenye kupewa uchi..fight to get it sio kukaa usubiri atokee mama huruma from nowhere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa ...
Wao wanadhani tunaposema kutoa,basi atoe hadi macho yamtoke[emoji1][emoji1]

Unaweza mpelekea mwanamke wako pipi tu ya Mia..na akafurahi.

Tunaenjoy Sana kupewa kitu kuliko hata hela,yaani mwanaume atoke out arudi hata na pipi ya miambili anipe aisee mbona atauteka moyo wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wanawake hatutakiwi kuwa na mtu kwa sababu ya huruma,Bila kujali Ana pesa au Hana

Ukiamua kumpenda mwanaume mpende tu lakini eti sio kumpenda kwa kumuonea huruma kwamba Hana pesa.

Na Ni ujinga kwa mwanaume kusubiria huruma za kupendwa eti kisa Hana hela basi anataka aonee huruma apendwe.
Hana nia huyu mtu. kila siku anataka kuonewa huruma kutongoza hataki anaogopa na asema kabisa kuwa hana ujasuri. Hakuna huruma kwenye kupewa uchi..fight to get it sio kukaa usubiri atokee mama huruma from nowhere

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
si kweli kama ndo hivyo ndoa za matajiri zisingekuwa na matatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba kila ndoa inavunjika sababu ya pesa yapo mambo mengine mengi tu lakini hapa pesa imezungumziwa kama moja Kati ya walinzi wa ndoa boss........usipojaribu kumjali na kufanya Jambo Fulani kwaajili yake akimuona wa Fulani anafanyiwa vitu kwako anakosa atawafuata hao hao wakina Fulani na mwisho wa siku utajilaumu kua unabahati mbaya kumbe ni ww mwenyew mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wao wenyewe huruma hawana [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajitambua mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala la kuwawin wanawake haliwezi kuwa motivation yangu ya kutafuta hela. Wengi wanaoletwa na hela zako ni wanawake ambao huwahitaji labda kugegeda tu. Mwanamke anayekufaa atavutiwa na struggle zako.
 
Yaani mtu ambaye hajatoka nje ya dar hasa mwanaume naonaga kama hajakamilika bado,hajaexperience maisha vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio unaonaga hio ni kweli usiogope kusema ni kweli hawajakamilika ukimuona mwili mkubwa na madevu ila kiundani ni sawa na female teenage au wale high school au collage cheerleaders

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio unaonaga hio ni kweli usiogope kusema ni kweli hawajakamilika ukimuona mwili mkubwa na madevu ila kiundani ni sawa na female teenage au wale high school au collage cheerleaders

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wa dar watanishambulia hapa hapatakalika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…