Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] imbombo ngafu tena siyo kidogo,, mie mwanaume ambaye situmii pesa zake wallah jikoni tutaingia wote mimi nikipika yeye anaosha vyombo sitaki ujinga kabisa.. hataki tunakula mawe akichepuka haya akiniacha fresh,, I'm Okeeeeii with everything

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukinifanyia hivyo, na mimi siku tukivamiwa na vibaka basi hao vibaka tutashirikiana kupigana nao wote na wala usilete habari za kujificha uvunguni[emoji2957][emoji2957]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini unadhani wanawake 'WENGI' as you put it wanapendea wanaume pesa???

Wengi maanake ni majority..

Na ukishaona kitu persistent kinatokea kwenye jamii...mie huwaga nachukulia ni kama trait ama survival instinct.. LOL


ila ndio hali halisi,hata wanyama tuna share nao this instinct...

sijui niliona wapi,ila mnyama male yule aliye agressive ndio female wanawapenda, ni sign ya kuwa protective..female anafeel kuwa protected...na pia huyo mnyama anaweza kuleta resources bila kuuwawa na hivyo..watoto wa huyu female wana uhakika kukua........so hio protection/resources .kwetu wanadamu ni sawa na pesa...LOLSSSSSS.....
Asee kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So you're technically saying tutafute pesa and waste it on women. Sorry mate, that's a direct route to poverty and misery. Money/Wealth is the mission and women are simply bonuses not the main agenda.

Also, flossing with your woman means that you pedastalize her and that her value is higher than yours.. And this is not how you approach these kinds of things, let the woman floss with you, not the other way round.

You're the one with the money and value, not her so she should be the one flossing with you. All she has is a wet hole with great packaging, but she's still a bill you've got to foot.

I'm very disappointed! Mimi ni kijana wa miaka 29, ukiwashauri hvyo vijana wadogo chini ya miaka 25 utawapoteza. Boresha Maisha kwa ajili yako na sio kwa ssb ya wanawake wakupende hayo acha yawe ziada, yatakuja yenyewe. Be content with your life, Period!

Aisee miaka 29?
Na mtazamo wako Ni huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchizi kweli ana nia, kwa jinsi anavyoonekana akimpata mdada wa hivyo atajenga kichuguu kabisa na hakika huyo dada ataishi kama malikia. So fungua milango basi kama wewe ni aina ya mdada anayemtafuta[emoji14][emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana nia huyu mtu. kila siku anataka kuonewa huruma kutongoza hataki anaogopa na asema kabisa kuwa hana ujasiri. Hakuna huruma kwenye kupewa uchi..fight to get it sio kukaa usubiri atokee mama huruma from nowhere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa mwaya kile kidogo cha upendo..

Usimzoeshe kumpa hela..au kumpa kila baada ya muda..lets say week mbili.

Hii routine siku huna pesa ita create tension between you..

Usitoe kiasi kikubwa sana mpaka mifuko yako itoboke...ukifanya hivyo utaanza kujichukia ama ku feel guilty ukipata ishu nyingine inayohitaji pesa.

Toa pesa ndani ya uwezo wako.

Halafu sio mara zote utoe cash.

Unaweza kumnunulia hereni, perfume au kumtoa dinner.

Wanaume wengi hawajui.

Wanawake sisi tunapenda kuoneshwa tunajaliwa constantly, kama wao wanavyopenda sex constantly.

Ukicheza na emotions zetu utafurahia pendo..LOL

Chunguza ambao hawajoa au ma senior bachelor wengi utagundua ni MABAHILI..LOL

Ukiwa mtu wa kujitoa, huwezi kukosa mke...lol
Kabisa ...
Wao wanadhani tunaposema kutoa,basi atoe hadi macho yamtoke[emoji1][emoji1]

Unaweza mpelekea mwanamke wako pipi tu ya Mia..na akafurahi.

Tunaenjoy Sana kupewa kitu kuliko hata hela,yaani mwanaume atoke out arudi hata na pipi ya miambili anipe aisee mbona atauteka moyo wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wanawake hatutakiwi kuwa na mtu kwa sababu ya huruma,Bila kujali Ana pesa au Hana

Ukiamua kumpenda mwanaume mpende tu lakini eti sio kumpenda kwa kumuonea huruma kwamba Hana pesa.

Na Ni ujinga kwa mwanaume kusubiria huruma za kupendwa eti kisa Hana hela basi anataka aonee huruma apendwe.
Hana nia huyu mtu. kila siku anataka kuonewa huruma kutongoza hataki anaogopa na asema kabisa kuwa hana ujasuri. Hakuna huruma kwenye kupewa uchi..fight to get it sio kukaa usubiri atokee mama huruma from nowhere

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
si kweli kama ndo hivyo ndoa za matajiri zisingekuwa na matatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba kila ndoa inavunjika sababu ya pesa yapo mambo mengine mengi tu lakini hapa pesa imezungumziwa kama moja Kati ya walinzi wa ndoa boss........usipojaribu kumjali na kufanya Jambo Fulani kwaajili yake akimuona wa Fulani anafanyiwa vitu kwako anakosa atawafuata hao hao wakina Fulani na mwisho wa siku utajilaumu kua unabahati mbaya kumbe ni ww mwenyew mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwamba kila ndoa inavunjika sababu ya pesa yapo mambo mengine mengi tu lakini hapa pesa imezungumziwa kama moja Kati ya walinzi wa ndoa boss........usipojaribu kumjali na kufanya Jambo Fulani kwaajili yake akimuona wa Fulani anafanyiwa vitu kwako anakosa atawafuata hao hao wakina Fulani na mwisho wa siku utajilaumu kua unabahati mbaya kumbe ni ww mwenyew mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wanawake hatutakiwi kuwa na mtu kwa sababu ya huruma,Bila kujali Ana pesa au Hana

Ukiamua kumpenda mwanaume mpende tu lakini eti sio kumpenda kwa kumuonea huruma kwamba Hana pesa.

Na Ni ujinga kwa mwanaume kusubiria huruma za kupendwa eti kisa Hana hela basi anataka aonee huruma apendwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wao wenyewe huruma hawana [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishapiga box mbili za Heineken hapa mpaka najiandaa kuongeza la tatu.

Nimeona tufungue mwaka kwa kukumbushana tu kipi cha kufanya hili kupunguza lawama ambazo zimekuwa hazina msaada juu ya kile tunacholalamikia.

Zile habari za mtu kuombwa shilingi 5,000 halafu anakuja kufungua uzi nafikiri baada ya thread hii hazitakuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajitambua mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala la kuwawin wanawake haliwezi kuwa motivation yangu ya kutafuta hela. Wengi wanaoletwa na hela zako ni wanawake ambao huwahitaji labda kugegeda tu. Mwanamke anayekufaa atavutiwa na struggle zako.
 
Yaani mtu ambaye hajatoka nje ya dar hasa mwanaume naonaga kama hajakamilika bado,hajaexperience maisha vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio unaonaga hio ni kweli usiogope kusema ni kweli hawajakamilika ukimuona mwili mkubwa na madevu ila kiundani ni sawa na female teenage au wale high school au collage cheerleaders

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio unaonaga hio ni kweli usiogope kusema ni kweli hawajakamilika ukimuona mwili mkubwa na madevu ila kiundani ni sawa na female teenage au wale high school au collage cheerleaders

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wa dar watanishambulia hapa hapatakalika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom