Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Daah we ni waifu materials kabisa ila sasa hayo uliyoyasema wachache wako hvo


Tatizo wenzako wanataka watukwangue kabisa watuchune mpaka basi yaani in short wanapenda pesa kuliko mfuko hilo sikatai tutawapa tu ila sasa kuwe na karoho ka utu basi siku nikikwama unavumilia lakini nyinyi ni nduki [emoji3] Rebeca 83,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mia mia

Siku zote priority ya kwanza iwe kuzisaka pesa ila kuhusu kumu win mwanamke ni kama jambo lisilokuwa la lazima sio la kulipa kipaumbele
Swala la kuwawin wanawake haliwezi kuwa motivation yangu ya kutafuta hela. Wengi wanaoletwa na hela zako ni wanawake ambao huwahitaji labda kugegeda tu. Mwanamke anayekufaa atavutiwa na struggle zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka nishambuliwe eeeh!?!
Don mwenyewe amenishambulia hapo juu kwa sababu anaishi dar..japo yeye mikoani anakujua

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wa mikoani hawaogopi kitu chochote zaidi ya Mungu na wanaume wa mikoani ..we ongea tu [emoji3][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi tusizake kwa udi na uvumba japo shida ni hiyo mentality yao ya zisakeni Sana ili mutupe kana kwamba hatuwez kuzisaka tukiwa pamoja.
 

Ngoja nkuulize, ww utafurahi siku ukigundua boyfriend wako alikupendea pesa Rebeca 83
 
Khaa unasubiri nini sasa kwani namba yangu hauna au [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] tena fanya haraka maana nina kiu
Yote Tisa,kumi hakuna Uzi ulivunja rekodi ya kubishana Kama ule wa nyenyere wa singo mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani mashambulizi yote uliyamudu,nikiukumbuka ule natamani hata nikununulie soda unywe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…