Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Mwanaume anayehangaika kutafuta anajulikana na zembe nyanya anajulikana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu unajua Jael ndiyo ananifundisha haya majibu,, mfano kama hapo niliposema wanakuwa vilema ghafla ni yeye ndiye aliwahi kumuambia mtu hivyo.. nilicheka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe sio mzima

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikupe mfano kuna siku nilifika kwenye kituo fulani cha boda boda sehemu niliyokuwa naenda nauli yake ni 5000 nikafika nikakuta watu wamekaa kwenye ka bar ka pembeni wanacheck mpira

Nikamuita dereva mmoja wa boda boda akaniambia nimtafute dereva mwingine eti kisa yeye anaangalia mpira

Nilishangaa sana nikajiuliza hivi hadi huo mpira uishe atakuwa amepoteza sh ngapi halafu unakuta kama ana familia na yeye akirudi nyumbani anamuambia mkewe amvumilie maisha ni magumu

Saa nyingine hawa wanaume nao siyo wa kuwatetea sana hatujui ujinga wanaoufanya huko wanakosema wanaenda kutafuta pesa
Mwanaume anayehangaika kutafuta anajulikana na zembe nyanya anajulikana..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa hivi kuna mpira Arsenal anacheza na Leeds, ukiisha tutakuja kuijadili hii topic.
 
Aisee..
Ndiyo,hawatakiwi kuonewa huruma Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena mjomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…