Thats niceKupokea kama ilivyo asili yangu japo sijawahi kuomba.
Kutoa pale inapobidi maana mwanaume nae Ni binadamu na Kuna Muda anapita kwenye changamoto
Licha ya kutafuta ambako ni ziada kwangu,lakini nafasi yangu Ni ya usaidizi(mke)
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini mwisho wa siku tunarudi pale pale pesa sumaku ya warembo. Hizo habari za kupendwa na emotional satisfaction ni chapter nyingine. Mwanamke anapenda baada ya kuwa amevutwa, sasa una mvuta na nini kama sio [emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]Pesa muhimu na hata wanaume tunapenda pesa pia na ukitaka kulijua hili angalia wanaume wengi wanavyojiweka mbele ya wanaume wenzao wenye pesa. Yaani utaona tu kuwa kuna mvuto flani hivi na pia ukirudi hapo mwishoni, kulala ma wanawake wazuri hakuondolei madhaifu yako uliyonayo ila inakusahaulisha tu.
Mwisho wa siku kama hauna mvuto ni hauna tu na hao wanawake utakaokuwa nao hawatokufanya ujihisi kupendwa au kupata satisfaction emotionally. Utawekeza kwa wanawake lakini mwisho wa siku utabakia kupigana na acceptance
Unamuonea...hili la ulemavu umelianzisha weweHaki vile,, yaani huyo ana majibu yake personal anaweza akakupa jibu moja hilo ukafurahi na roho yako..
Anakupa jibu ambalo haukulitegemea yaani haukuona kama linakuja,, wazungu wanasema you didn't see that coming..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi kuna mpira Arsenal anacheza na Leeds, ukiisha tutakuja kuijadili hii topic.
Lakini mwisho wa siku tunarudi pale pale pesa sumaku ya warembo. Hizo habari za kupendwa na emotional satisfaction ni chapter nyingine. Mwanamke anapenda baada ya kuwa amevutwa, sasa una mvuta na nini kama sio [emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mtu ambaye hajatoka nje ya dar hasa mwanaume naonaga kama hajakamilika bado,hajaexperience maisha vizuriYaani hadi nikajikuta naanza kuukubali ule utani wa wanaume wa Dar maana mwanzo nilikuwa nawatetea naona kama wanaonewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapotumia material things kumpata mtu automatically kwake unakuwa kitu na unapoteza ile sense ya ubinadamu katika nafsi yake.Lakini mwisho wa siku tunarudi pale pale pesa sumaku ya warembo. Hizo habari za kupendwa na emotional satisfaction ni chapter nyingine. Mwanamke anapenda baada ya kuwa amevutwa, sasa una mvuta na nini kama sio [emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii shemu si tumeifuta?
Daah sema ile comment ni ya muda mrefu na uzi nimeusahau ila tulikuwa tunaongelea habari kama hizi akamuambia mtu kuwa mkioa mnakuwa vilema ghafla
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Ni Nani ?Nilikuuliza nimuite?? Unataka kumfanyia nini?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mtu ambaye hajatoka nje ya dar hasa mwanaume naonaga kama hajakamilika bado,hajaexperience maisha vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mtu ambaye hajatoka nje ya dar hasa mwanaume naonaga kama hajakamilika bado,hajaexperience maisha vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani unamuoneaMkuu sio trick tu hii ya kuwavuta wadada..haiwezekani ukabadilika ghafla tuu.. nimekushtukia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]
Mwanaume hata jembe halijui..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini? Dar kuna msoto mama usisikilize maneno ya watu wa mikoani kuna mkaka aliniambia huo msemo wa wanaume wa dar ulianzishwa na wanaume wa mikoani sababu ya kuambiwa kuwa wao ni washamba!
Sent using Jamii Forums mobile app