Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Simu ya Lizarazu imekua hacked labda

Sent using Jamii Forums mobile app
Please huyu ni mimi wala sio mwingine kama umfikiriavyo.

No one hacked my account lately, this is real Lizarazu dishing out his candid advice to broke ass whining niggas who keep wailing and screaming whenever ladies ask them for monies.

It's 2020 the time to be real and accept the reality.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
As salaam alayqum na pia tumsifu Yesu Kristu.

Nafahamu jambo hili limeshaongelewa sana humu lakini nimeona si mbaya nikikumbushia tu na hasa ukizangatia mwaka bado ni mbichi kabisa.

Na pia vilevile mada hii hailengi kuwafanya wanawake wawe magold digger, isipokuwa najaribu kuelezea uhalisia.

Ni jumatatu ya kwanza ya mwaka, Jumatatu ambayo naamini kwa walio wengi ndiyo wanaanza majukumu rasmi ya mwaka mzima.

Jumatatu hii ya leo kwa namna moja ama nyingine inaweza ikatoa taswira ya Jumatatu zingine zote zilizobaki za mwaka huu. Hivyo basi, ni matumaini yangu makubwa kwamba Jumatatu hii umeanza vizuri popote ulipo.

Ni ukweli ulio wazi kwamba nyakati tulizopo pesa imekuwa ndio catalyst katika kuanzisha/kujenga mahusiano ya kimapenzi baina ya ME na KE.

Na hili limepelekea kuwepo kwa malalamiko mengi sana yakielekezwa kwa wanawake kutoka kwa wanaume.

Wanaume tumekuwa tukichukizwa na tabia ya wanawake kutanguliza pesa kama prerequisite pale tunapowahitaji kimahusiano/romantic intimacy.

Na malalamiko haya yamekuwepo tangu enzi za mwalimu mpaka leo hii lakini nothing has changed, wanawake bado ni wale wale hawajabadilika wala nini na uhitajikaji wao kwetu bado uko pale pale, kwani hawana mbadala (their demand is devoid of substitutability).

Sasa nini kifanyike? Kwanza kabisa itabidi wanaume wote tukubaliane na ukweli kuwa kiasilia wanawake ni watu wa kupewe/kupokea na wala siyo vinginevyo. Yaani hata kama anacho, yeye atahitaji kupewa tu na mtu wa kumpa ni mwanaume, na hili liko authenticated hata kwa utofauti wetu wa kimaumbile, maumbile ya mwanamke yamekaa kupokea kile ambacho wewe mwanaume unakitoa.

Baada ya kukubaliana na hili tuendelee...

Naamini hakuna mtu ambaye anapenda kukosa hela, sote hela tunahiitaji na tunaitafuta. Kukosa pesa kwa kijana mwenye nguvu na utimamu wa akili na mwenye nia ya dhati kunatokana na mazingira mabovu na sera mbovu za kiuchumi tulizonazo, lakini kamwe hii haiwezi kuwa sababu kwa wale viumbe (KE).

Kama hauna hela yeye anaamini wewe ni mvivu tu, kwani walio nazo wamezipataje? Na kwanini wewe ukose? Hivi ndivyo jinsi wengi wao wanavyowaza, tena ukiongeza ni ile mentality ya kwamba patriarchy inatu-favor zaidi wanaume ndio kabisaaaaa wanaona mwanaume kukosa hela ni uzembe wako.

Sasa basi kumbe hakuna lolote tutakalosema litabadilisha mindset za viumbe hawa, zaidi ya sisi kuamua tu kwenda na mkondo wa maji.

Kikubwa cha kufanya ni kuongeza tu juhudi na maarifa katika kutafuta ngawira despite of harshly unfavourable economic environment we have, simaanishi sasa tuanze kuiba au tuuze madawa ya kulevya, hapana. Just do any decent job kwa waledi wa hali ya juu.

Ukisha ji-upgrade financially, ukawa ni mtu unaeleweka na hauna ule ule muonekano wa njaa njaa, hakika hautakaa tena uwalaumulaumu wanawake kwa vizinga, sababu kwanza utajikuta automatically una options kibao.

Asilimia kubwa ya wanaume tunaotoa haya malalamiko ni wale wenye vipato duni au hatuna kabisa vipato. Siyo rahisi kumkuta mwanaume mwenye income ya kueleweka eti anafungua uzi wa baada ya kuombwa sh.10,000 na mdada, nasema siyo rahisi hata kidogo.

Wanawake wanataka mwanaume ambaye atawasahaulisha shida na kuwafanya wafurahi muda wote na hiyo ndiyo definition yao ya ideal man.

Ukiweza kufanya hivyo hakika utawa-enjoy utakavyo na hauitaji kuwa na pesa za Mo Dewji ili kuweza kuwa hivyo.

Wanawake wanapenda maisha matamu haijalishi wewe unayewapa hayo maisha umezipataje, unaonekanaje, una umri gani na historia yako ikoje.

Huyu jamaa ni mzimbabwe anayeishi South Africa, jina lake anaitwa Roland Mchwengwa au waweza kumuita uncle Rola, kwa kumuangalia tu kwenye hizi picha ni mtu mzima sana kiumri hakosi miaka 50, lakini ni bonge la Playboy na anakula totozi kali sana, hakuna slayqueen wa pande hizo asiyemjua huyu jamaa.

Hii inaonesha kwamba ukiwa na ngawira hauitaji kuwa handsome na wala siyo lazima uwe kijana hili kufaidi haya maua yaipambayo hii dunia.

Tuwajibike na tudumishe heshima, malalamiko hayasaidii.
View attachment 1313999

Mdogo angu imekuaje kuaje huu uzi hujaandika wewe
 
So you're technically saying tutafute pesa and waste it on women. Sorry mate, that's a direct route to poverty and misery. Money/Wealth is the mission and women are simply bonuses not the main agenda.

Also, flossing with your woman means that you pedastalize her and that her value is higher than yours.. And this is not how you approach these kinds of things, let the woman floss with you, not the other way round.

You're the one with the money and value, not her so she should be the one flossing with you. All she has is a wet hole with great packaging, but she's still a bill you've got to foot.

I'm very disappointed! Mimi ni kijana wa miaka 29, ukiwashauri hvyo vijana wadogo chini ya miaka 25 utawapoteza. Boresha Maisha kwa ajili yako na sio kwa ssb ya wanawake wakupende hayo acha yawe ziada, yatakuja yenyewe. Be content with your life, Period!

I wonder why majority of you have failed to decipher my message correctly while it is very pellucid and translucent. I am not advocating you all should chase money with the sole purpose of squandering it on women, if that is what you get from my whole thread that's you but the crux of this topic is contrary to that.

Basically i am sending this message to people who have been outcrying and critiquing women for being in love with money, they should find a prudent approach on the matter coz this online outcry won't change anything, and what actually can they do to at least stop this whining tendency?

Lately, there was a thread here opened by seemingly young fella complaing about lady who asked him for 10,000 tsh. The young dude seemed to be so angry and frustrated. So what kind of advice would you give him with regard to his situation?

Pia spending spree on your woman doesn't mean you put her in the pedestal, it is people with frugal mentality who holds such notion, you all should swallow the gospel truth no woman will flock to you when you live in poverty stricken lifestyle.

As for the word "wet-hole" please i do believe you could've chosen a better word that doesn't sound offensive, beside it is the "wet-hole" that majority of you spending almost your entire life trying to get its sweetness, the same "wet-hole" can make you powerless for while, only gays and impotent men are absolutely immune to that "wet-hole".

If you are disappointed i am also disappointed at your failure of grasping the core point of my message.

Tutafute helaa wanawake hawabadiliki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sio trick tu hii ya kuwavuta wadada..haiwezekani ukabadilika ghafla tuu.. nimekushtukia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]
Hapana kabisa, hii wala sio trick ni mimi mwenyewe nimeamua kuwa mkweli na kuwahimiza wenzako nao pia waukubali ukweli kwani utawaepusha na mengi.

Kuhusu kuwapata wadada mbona ni kazi rahisi sana kama kweli nikiamua. Si nnakuja tu na ID mpyaa halafu nnakuwa bonge la gentle man and somewhat Simp.[emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapotumia material things kumpata mtu automatically kwake unakuwa kitu na unapoteza ile sense ya ubinadamu katika nafsi yake.
Real loyalty can't be bought, its only made by immaterial stuffs na mwanamke yoyote mwenye price tag ni changudoa ambaye hajaaamua kujipanga barabarani. Hawezi kuwa loyal, Ni nadra akupende mkuu
"Real loyalty can't be bought, it is only made by immaterial stuffs"

[emoji1312][emoji1312]i slightly concur your statement, but Frankly how can you really win someone's heart with intangible stuffs that don't even ensure her a better future?? That doesnt even ensure the fulfillment of her ambitions in life? Kwamba uta muwin kwa kumuimbia nyimbo za akina Chiristian Bella huku mnapiga mihayo au?

Bro, that is misguided impression you have, women are not wired for enduring harsh life.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom