Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili zenu bangi Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Zako wewe na lizarazu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kusubiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaka huu Lizarazu utakunywa soda Sana..Aisee nimekuelewa sana popote ulipo kopa peps ya bard unywe nitalipia nikiajiriwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Please huyu ni mimi wala sio mwingine kama umfikiriavyo.
Mimi huwa niko real sema hamjui tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni ukweli siku hizi kabadilika
Sent using Jamii Forums mobile app
As salaam alayqum na pia tumsifu Yesu Kristu.
Nafahamu jambo hili limeshaongelewa sana humu lakini nimeona si mbaya nikikumbushia tu na hasa ukizangatia mwaka bado ni mbichi kabisa.
Na pia vilevile mada hii hailengi kuwafanya wanawake wawe magold digger, isipokuwa najaribu kuelezea uhalisia.
Ni jumatatu ya kwanza ya mwaka, Jumatatu ambayo naamini kwa walio wengi ndiyo wanaanza majukumu rasmi ya mwaka mzima.
Jumatatu hii ya leo kwa namna moja ama nyingine inaweza ikatoa taswira ya Jumatatu zingine zote zilizobaki za mwaka huu. Hivyo basi, ni matumaini yangu makubwa kwamba Jumatatu hii umeanza vizuri popote ulipo.
Ni ukweli ulio wazi kwamba nyakati tulizopo pesa imekuwa ndio catalyst katika kuanzisha/kujenga mahusiano ya kimapenzi baina ya ME na KE.
Na hili limepelekea kuwepo kwa malalamiko mengi sana yakielekezwa kwa wanawake kutoka kwa wanaume.
Wanaume tumekuwa tukichukizwa na tabia ya wanawake kutanguliza pesa kama prerequisite pale tunapowahitaji kimahusiano/romantic intimacy.
Na malalamiko haya yamekuwepo tangu enzi za mwalimu mpaka leo hii lakini nothing has changed, wanawake bado ni wale wale hawajabadilika wala nini na uhitajikaji wao kwetu bado uko pale pale, kwani hawana mbadala (their demand is devoid of substitutability).
Sasa nini kifanyike? Kwanza kabisa itabidi wanaume wote tukubaliane na ukweli kuwa kiasilia wanawake ni watu wa kupewe/kupokea na wala siyo vinginevyo. Yaani hata kama anacho, yeye atahitaji kupewa tu na mtu wa kumpa ni mwanaume, na hili liko authenticated hata kwa utofauti wetu wa kimaumbile, maumbile ya mwanamke yamekaa kupokea kile ambacho wewe mwanaume unakitoa.
Baada ya kukubaliana na hili tuendelee...
Naamini hakuna mtu ambaye anapenda kukosa hela, sote hela tunahiitaji na tunaitafuta. Kukosa pesa kwa kijana mwenye nguvu na utimamu wa akili na mwenye nia ya dhati kunatokana na mazingira mabovu na sera mbovu za kiuchumi tulizonazo, lakini kamwe hii haiwezi kuwa sababu kwa wale viumbe (KE).
Kama hauna hela yeye anaamini wewe ni mvivu tu, kwani walio nazo wamezipataje? Na kwanini wewe ukose? Hivi ndivyo jinsi wengi wao wanavyowaza, tena ukiongeza ni ile mentality ya kwamba patriarchy inatu-favor zaidi wanaume ndio kabisaaaaa wanaona mwanaume kukosa hela ni uzembe wako.
Sasa basi kumbe hakuna lolote tutakalosema litabadilisha mindset za viumbe hawa, zaidi ya sisi kuamua tu kwenda na mkondo wa maji.
Kikubwa cha kufanya ni kuongeza tu juhudi na maarifa katika kutafuta ngawira despite of harshly unfavourable economic environment we have, simaanishi sasa tuanze kuiba au tuuze madawa ya kulevya, hapana. Just do any decent job kwa waledi wa hali ya juu.
Ukisha ji-upgrade financially, ukawa ni mtu unaeleweka na hauna ule ule muonekano wa njaa njaa, hakika hautakaa tena uwalaumulaumu wanawake kwa vizinga, sababu kwanza utajikuta automatically una options kibao.
Asilimia kubwa ya wanaume tunaotoa haya malalamiko ni wale wenye vipato duni au hatuna kabisa vipato. Siyo rahisi kumkuta mwanaume mwenye income ya kueleweka eti anafungua uzi wa baada ya kuombwa sh.10,000 na mdada, nasema siyo rahisi hata kidogo.
Wanawake wanataka mwanaume ambaye atawasahaulisha shida na kuwafanya wafurahi muda wote na hiyo ndiyo definition yao ya ideal man.
Ukiweza kufanya hivyo hakika utawa-enjoy utakavyo na hauitaji kuwa na pesa za Mo Dewji ili kuweza kuwa hivyo.
Wanawake wanapenda maisha matamu haijalishi wewe unayewapa hayo maisha umezipataje, unaonekanaje, una umri gani na historia yako ikoje.
Huyu jamaa ni mzimbabwe anayeishi South Africa, jina lake anaitwa Roland Mchwengwa au waweza kumuita uncle Rola, kwa kumuangalia tu kwenye hizi picha ni mtu mzima sana kiumri hakosi miaka 50, lakini ni bonge la Playboy na anakula totozi kali sana, hakuna slayqueen wa pande hizo asiyemjua huyu jamaa.
Hii inaonesha kwamba ukiwa na ngawira hauitaji kuwa handsome na wala siyo lazima uwe kijana hili kufaidi haya maua yaipambayo hii dunia.
Tuwajibike na tudumishe heshima, malalamiko hayasaidii.
View attachment 1313999
Wasiokubaliana na huu ukweli wanajitafutia msongo wa mawazo tu kwenye maisha yao ya mahusiano.Ndiyo maana tunasema pesa na mapenzi vinaenda sambamba.
Wanaume watafute pesa kama alivyosema lizarazu
Sent using Jamii Forums mobile app
"Asilimia kubwa ya wanaume wanaotoa malalamiko Ni wenye vipato duni au hawana vipato kabisa"Wasiokubaliana na huu ukweli wanajitafutia msongo wa mawazo tu kwenye maisha yao ya mahusiano.
Sent using Jamii Forums mobile app
I wonder why majority of you have failed to decipher my message correctly while it is very pellucid and translucent. I am not advocating you all should chase money with the sole purpose of squandering it on women, if that is what you get from my whole thread that's you but the crux of this topic is contrary to that.So you're technically saying tutafute pesa and waste it on women. Sorry mate, that's a direct route to poverty and misery. Money/Wealth is the mission and women are simply bonuses not the main agenda.
Also, flossing with your woman means that you pedastalize her and that her value is higher than yours.. And this is not how you approach these kinds of things, let the woman floss with you, not the other way round.
You're the one with the money and value, not her so she should be the one flossing with you. All she has is a wet hole with great packaging, but she's still a bill you've got to foot.
I'm very disappointed! Mimi ni kijana wa miaka 29, ukiwashauri hvyo vijana wadogo chini ya miaka 25 utawapoteza. Boresha Maisha kwa ajili yako na sio kwa ssb ya wanawake wakupende hayo acha yawe ziada, yatakuja yenyewe. Be content with your life, Period!
Hapana kabisa, hii wala sio trick ni mimi mwenyewe nimeamua kuwa mkweli na kuwahimiza wenzako nao pia waukubali ukweli kwani utawaepusha na mengi.Mkuu sio trick tu hii ya kuwavuta wadada..haiwezekani ukabadilika ghafla tuu.. nimekushtukia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
"Real loyalty can't be bought, it is only made by immaterial stuffs"Unapotumia material things kumpata mtu automatically kwake unakuwa kitu na unapoteza ile sense ya ubinadamu katika nafsi yake.
Real loyalty can't be bought, its only made by immaterial stuffs na mwanamke yoyote mwenye price tag ni changudoa ambaye hajaaamua kujipanga barabarani. Hawezi kuwa loyal, Ni nadra akupende mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu sio trick tu hii ya kuwavuta wadada..haiwezekani ukabadilika ghafla tuu.. nimekushtukia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]
[emoji134][emoji134]Daah sema ile comment ni ya muda mrefu na uzi nimeusahau ila tulikuwa tunaongelea habari kama hizi akamuambia mtu kuwa mkioa mnakuwa vilema ghafla
Sent using Jamii Forums mobile app