Wanaume, siyo wakati wote ni wa kuwalaumu wanawake, kuna wakati sasa ni wa kuutumia 'uanaume' wenu

Ndivyo tulivyooana Kila mtu anakaa mbali so ulitaka asiwe na kwake?
Na ndio maana ndoa alivunjika kwa usasa wenu kujifanya kwenda kinyume na nature. Na kama kila mtu alikua na maisha yake, kila mtu ana matakwa, machaguo, maono na mamlaka yake KWANINI MLIOANA ?!! (Hili swali sijui kwanini hunijibu)

Kama Carleen alivyonukuu usemi wa wahenga "mafahari wawili hawakai zizi moja" sasa nyie wote manunda, kila mmoja ana miliki yake, kila mmoja ana maono yake na mipango yake binafsi NA MKATAKA MUWE MUME NA MKE ?! ILI HALI WOTE NI MAFAHARI ?!! Tehe he he aisee

Mkuu kwa hulka yako wewe sio mwanamke, my dear wewe ni mwanaume dume ila tu una kum.a, mwanaume hawezi kuishi na mwanaume mwenzake, ili uwe mwanamke lazima nirudie kwa bolded ink lazima ukubali kua chini ya mwanaume. Kujifanya maSuperwoman bla bla blah huu ujinga utawatokea puani mpaka mkome

Pinga uwezavyo ila mwenzako Carleen kaweka vema kabisa MWANAMKE HAUKUUMBWA KUA NA MAMLAKA, lazima uwe chini ya mwanaume ila kupanga ni kuchagua endelea na udume jike uone kama utakupa furaha kamwe nakuhakikishia KAMWE.
 
Kama uliyoandika moyo wako umetakata,bas ngoja nami niendelee na mengine mkuu.Uwe na usiku mwema Kamanda😉
 
Kama uliyoandika moyo wako umetakata,bas ngoja nami niendelee na mengine mkuu.Uwe na usiku mwema Kamanda😉
Mkuu mimi moyo lazima utakate siku zote mke nikimkataza hiki sitaki anaacha, nikirudi ataniuliza nataka nile nini kwanini moyo usiwe na amani tele ?! Na kwa reverse action najikuta nampenda, mamhudumia kwa mapenzi, namlinda na kutunza.

Sasa wewe toxic feminism imekuingia mpaka kwa mifupa ni 50 kwa 50 bampa to bampa unatarajia mwanaume gani mjinga wa kukupenda, kukutunza na kukuhudumia mjinga gani huyo wakuja kuishi na wewe.
(, ikumbukwe furaha ya mwanamke ni kupendwa, kulindwa na kuhudumiwa tofauti na hapo hata uwe na matrillion unakua kama msukule tu)

Shida yangu hua nasema ukweli mchungu, sinaga kuremba na kupindapinda.
 
Woow! Hongera Kwa kuwa na mke msikivu mkuu!☺️
 
Haha.
Ahsante kwa kunichekesha James, huwezi jua in real life ni kabangi flani hivi ka chuga..!
Potelea mbali. Maandishi yanabeba uhaliasia fulani. Haiwezekani usifikie 50% ya maandishi yako. Kinachomtoka mtu kimejaza moyo wake.

Hata iwaje uko na character fulani za maandishi yako. Kwa mtu mwenye nia ya dhati bado namshauri aje PM ili mwakani majira kama haya tuje tule ubwabwa huko Unga LTD [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Haha..!
Umenichekesha kwa sauti ujue..!!
Sina la kuongeza hapo zaidi ya 'A huge Amen to that'...!
Barikiwa James..!
 
Kujivimbisha ni tabia tu haichagui jinsia. Kuna wanaume akiwa na mamlaka kidogo tu anavimba kuliko chura anayeita jike.
 
Katika vitu hutakiwi kujiuliza Mara mbili ni kumuacha mwanamke ambae hakuheshim piga chin fasta
 
Kujivimbisha ni tabia tu haichagui jinsia. Kuna wanaume akiwa na mamlaka kidogo tu anavimba kuliko chura anayeita jike.
I do admit...!!
the ony difference ni kuwa asilimia kubwa ya wanawake they can't control it tofauti na wanaume wengi..!!
 
Reactions: Tsh
Unampata mwanaume unaamua kuwa submissive kwake,ùnakua rafiki,mke na mpenzi,unamuheshimu kwa dhati kabisa!
Akipata ela sasa anaanza kukuona mshamba,unapigwa matukio left and right mwisho wa siku unagive up kwenye ishu za mahusiano!
Na shida ya wengi kama si wachache huanzia hapa,
 
Kumjadili mwanamke kwa akili zake, ni sawa na kumjadili mchawi... Mume alilazwa usingizi, akaumbwa mke,. Na laiti angekuwa macho mwanaume, angekataa ubavu wake usitengeze hicho kiumbe,.. Jibu la Adam kwa mwenyezi Mungu baada ya kutenda kosa,.. "...... Ni huyu mwanamke uliyenipa ndiye kasababisha yote haya"... Mke akapewa nafasi moja tu, ya kuzaa, bhaasi... Utawala, kutafuta chakula na kumlisha mwanamke ni jukumu la mume,.. Sasa leo mwanamke anapopata nafasi ya utawala na kipato cha kumzidi mwanaume,.. anarudi kwenye asili yake Ile Ile, ataharibu tu,.. Ila dunia ya leo ukifata mpango sahihi, ndio mpango unaopigiwa kelele na wanaharakati unaoitwa mfumo Dume, lkn sio kweli. Mwanamke amejaa tamaa, na zaidi pale anapohisi ana uwezo wa kufanya mambo yake bila Mume. MWANAMKE HANA UPENDO BALI ANA HESHIMA ANAYOITOA KWASABABU ZAKE BINAFSI AMBAZO MWANAUME HUFARIJIKA, iwe anakupa heshima labda kwa kipato chako, kwa mapenzi yako, kwa muonekano wako etc,.. Sasa kikitokea kivutio kingine zaidi ya kile cha kwako atahamisha kambi na kupeleka heshima huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…