Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, nawaangalia tu Kwa kweliNdiyo maana unawavimbia...
Niangalie na mimi...Hapana,nawaangalia tu Kwa kweli
Sawa, hata usijaliNiangalie na mimi...
Ukweli si ndio huo wa "yeye ana kwake na wewe una kwako, yeye ana vyake na wewe una vyako" na uko serious ati hapo ulitaka ndoa idumu mkuu?!Hayo unaelezea wewe,lakini ukweli nilioupitia naujua mimi
Ndivyo tulivyooana Kila mtu anakaa mbali so ulitaka asiwe na kwake?Ukweli si ndio huo wa "yeye ana kwake na wewe una kwako, yeye ana vyake na wewe una vyako" na uko serious ati hapo ulitaka ndoa idumu mkuu ?!
Na ndio maana ndoa alivunjika kwa usasa wenu kujifanya kwenda kinyume na nature. Na kama kila mtu alikua na maisha yake, kila mtu ana matakwa, machaguo, maono na mamlaka yake KWANINI MLIOANA ?!! (Hili swali sijui kwanini hunijibu)Ndivyo tulivyooana Kila mtu anakaa mbali so ulitaka asiwe na kwake?
Kama uliyoandika moyo wako umetakata,bas ngoja nami niendelee na mengine mkuu.Uwe na usiku mwema Kamanda😉Na ndio maana ndoa alivunjika kwa usasa wenu kwenda kinyume na nature. Na kama kila mtu alikua na maisha yake, kila mtu ana matakwa, machaguo, maono na mamlaka yake KWANINI MLIOANA ?!! (Hili swali sijui kwanini hunijibu)
Kama Carleen alivyonukuu usemi wa wahenga "mafahari wawili hawakai zizi moja" sasa nyie wote manunda, kila mmoja ana miliki yake, kila mmoja ana maono yake na mipango yake binafsi NA MKATAKA MUWE MUME NA MKE ?! ILI HALI WOTE NI MAFAHARI ?!! Tehe he he aisee
Mkuu kwa hulka yako wewe sio mwanamke, my dear wewe ni mwanaume dume ila tu una kum.a, mwanaume hawezi kuishi na mwanaume mwenzake, ili uwe mwanamke lazima nirudie kwa bolded ink lazima ukubali kua chini ya mwanaume.
Mkuu mimi moyo lazima utakate siku zote mke nikimkataza hiki sitaki anaacha, nikirudi ataniuliza nataka nile nini kwanini moyo usiwe na amani tele ?! Na kwa reverse action najikuta nampenda, mamhudumia kwa mapenzi, namlinda na kutunza.Kama uliyoandika moyo wako umetakata,bas ngoja nami niendelee na mengine mkuu.Uwe na usiku mwema Kamanda😉
Woow! Hongera Kwa kuwa na mke msikivu mkuu!☺️Mkuu mimi moyo kazima utakate siku zote mke nikimkataza hiki sitaki anaacha, nikirudi ataniuliza nataka nile nini kwanini moyo usiwe na amani tele ?! Na kwa reverse action najikuta nampenda, mamhudumia kwa mapenzi, namlinda na kutunza.
Sasa wewe toxic feminism imekuingia mpaka kwa mifupa ni 50 kwa 50 bampa to bampa unatarajia mwanaume gani mjinga wa kukupenda, kukutunza na kukuhudumia mjinga gani huyo wakuja kuishi na wewe. (, ikumbukwe furaha ya mwanamke ni kupendwa, kulindwa na kuhudumiwa tofauti na hapo hata uwe na matrillion unakua kama msukule tu)
Potelea mbali. Maandishi yanabeba uhaliasia fulani. Haiwezekani usifikie 50% ya maandishi yako. Kinachomtoka mtu kimejaza moyo wake.Haha.
Ahsante kwa kunichekesha James, huwezi jua in real life ni kabangi flani hivi ka chuga..!
Haha..!Potelea mbali. Maandishi yanabeba uhaliasia fulani. Haiwezekani usifikie 50% ya maandishi yako. Kinachomtoka mtu kimejaza moyo wake.
Hata iwaje uko na character fulani za maandishi yako. Kwa mtu mwenye nia ya dhati bado namshauri aje PM ili mwakani majira kama haya tuje tule ubwabwa huko Unga LTD [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
I do admit...!!Kujivimbisha ni tabia tu haichagui jinsia. Kuna wanaume akiwa na mamlaka kidogo tu anavimba kuliko chura anayeita jike.
Imeisha hiyoHii ndiyo itakuwa solution Lucha.??