Wanaume, siyo wakati wote ni wa kuwalaumu wanawake, kuna wakati sasa ni wa kuutumia 'uanaume' wenu

Siku nikipata wa hvo mmoja[emoji48][emoji48][emoji48] kitakachomkuta ataniona kama her worst nightmare
 
UISLAM ulilijua hili Karne na Karne,......Saudi Arabia na nchi za kiarabu na kiislam zinaambiwa wao ni madikteta,hawampi fursa mwanamke
 
UISLAM ulilijua hili Karne na Karne,......Saudi Arabia na nchi za kiarabu na kiislam zinaambiwa wao ni madikteta,hawampi fursa mwanamke
Mpango wa Mungu ndiyo mpango sahihi hakika..!
 
Sio personal attack ni rule of thumb kama mwanamke huwezi kujishusha kwa mwanaume ndo itakushinda tu

Na kama mwanaume hutaki kuwajibika ndoa itakushinda tu
I concur with you, ila usi attack mtu personally hujui kile mtu mmoja mmoja anapitia..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…