Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio personal attack ni rule of thumb kama mwanamke huwezi kujishusha kwa mwanaume ndo itakushinda tuthat's personal attack, na siyo kitu chema, hujui mtu kapitia nini kwenye maisha yake, hebu stop being so judgemental tafadhali,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku nikipata hela naoa....[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku nikipata hela naoa....[emoji16]
Wee kwan huyu Carie ni wakunyumba? Mbna sijui sasa?Ndiyo wa kwetu
au nioe sahivi 😁😁[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenyekiti we unasubiri hadi upate hela!!!
EehWee kwan huyu Carie ni wakunyumba? Mbna sijui sasa?
Oa tu sasahivi maana hamna namna.au nioe sahivi [emoji16][emoji16]
Ooooh hapo sasa vyedi, kumbe wakunyumba tuko wengi humu.Eeh
Wa nyumbani kabisa huyo
UISLAM ulilijua hili Karne na Karne,......Saudi Arabia na nchi za kiarabu na kiislam zinaambiwa wao ni madikteta,hawampi fursa mwanamkeHi guys,
Ni imani yangu mmekuwa sawa watu wa Mungu..!
Kuna hii issue huwa inatokea mara kwa mara, wanaume hulalamika kuwa baada ya Ndoa, Cheo, Elimu ama Uwezo wa kifedha (hasa kuwazidi waume zao) hushangaa asilimia kubwa sana ya wanawake hubadilika kitabia, huwa na dharau na 'qibri' flani hivi ambacho mwanzo hakikuwepo.!
Hapa ndipo wanaume huanza kutuponda sana wanawake na kutuona viumbe wa ajabu na ndiyo mwanzo wa kutunukiwa majina yasiyo staha..!
Mnachosahau wanaume ni kuwa, kiasili mwanamke hakuumbwa kuwa na 'mamlaka', sababu kiukhalisia mwanamke hawezi control hiyo 'power', mara nyingi huwa hiyo mamlaka inamzidi nguvu, ndipo haposa mnaanza kuona mwanamke anabadilika na kuanza kuvimba,
Na si kwamba eti 'ataplan' kuwa sahii nianze kuvimba, Hell No'..! In a very automatic way, kuna kitu kina trigger kwenye akili yake kuwa 'wewe ni mkubwa sana, kuna namna unapaswa kuheshimiwa na hawa wote wako chini yako na hakuna wa kukuambia lolote kwani hakuna aliye kama wewe'..!
Lilipaswa kuwa ni jambo la ku control that 'overgrowing ego', lakini sangapi wakati huo uwezo wenyewe wa ku-control unajipata hauko nao?? Mwisho wa siku hiyo ego inakomaa hapo sasa hakuna atakayeweza kukuambia kitu tena mara nyingi kama ilikuwa ni Ndoa huishia kuvunjika kwani mafahali wawili kamwe hawakai zizi moja..!
Kuna ile namna mke anaanza kukuvimbia mpaka wewe mumewe, unashangaa hichi kiburi katoa wapi mbona hakuwa nacho kabla.? Kumbe tayari ile kujua tu 'Mimi ndiye Mkewe tena halali wa Ndoa', hiyo tu itamfanya mwanamke 'avimbe' tena mapema sana.! Yaani tunataka uielewe 'mamlaka ya kuwa mke tuliyonayo' kila mtu ajue Mimi ndiye mke wake na aheshimu hilo, kwanza ukifahamu kuwa ni mke halali tunatamani hata ushtuke japo utetemeke kidogo (kinda funny eeh!?)..!
Hapa pia ndipo pahala mliambiwa muishi na mwanamke kwa akili, ile akili sasa ikuwe applied na hapa..!!
Jitahidi kumkumbusha mwanamke wako nafasi yake mara kwa mara, kuwa hata kama dunia itageuka kichwa chini miguu juu bado nafasi yake ni ile ile yeye ni mke tu hakuna kitakachobadilisha hilo hata akiimiliki dunia yote.!
Tutabishana hapa na baadhi ila hata msipoamini hili nadhani mnajionea mengi yanayoendelea huko duniani, mwanamke hakuumbiwa kuwa na mamlaka kubwa kumliko, na akiwa nayo pengine awe na muongozo toka kwa mwanaume anayemuheshimu tofauti na hapo, we're doomed, real doomed..!
Enweiz, sijui hata nilikuwa nawaza nini, hebu mkuwe tu na weekend iliyobarikiwa..!
I concur with you, ila usi attack mtu personally hujui kile mtu mmoja mmoja anapitia..!Sio personal attack ni rule of thumb kama mwanamke huwezi kujishusha kwa mwanaume ndo itakushinda tu
Na kama mwanaume hutaki kuwajibika ndoa itakushinda tu