CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,048
- 7,608
Come on! [emoji16][emoji16]i can't lay my finger on her,, psychological torture is the best choice[emoji48][emoji48]Hizi plan mnaanzaga kuziwekaga kwa akili ndiyo mwanzo wa zile 'breaking news'...!
Mtoto wa wenyewe akikushinda si lazima uwe naye, habari ya kum torture itakusaidia nini..!?Come on! [emoji16][emoji16]i can't lay my finger on her,, psychological torture is the best choice[emoji48][emoji48]
A real man can't go down that easy,, it's not our nature,, you don't poke a bear with your nails, they'll break[emoji16][emoji16]Mtoto wa wenyewe akikushinda si lazima uwe naye, habari ya kum torture itakusaidia nini..!?
C'mon..! Umeshaoa kwanza.?
Nimefurahi ushauri mzuriSipendi watu wanao guna bila kusema Neno..!!
Acha kiburi na umwamba hautakufikisha popote. wewe ni mwanamke na hilo halitabadilika. Kama Mungu alikuita "kiumbe dhaifu" kamwe hautamtawala mwanaume zitavunjika ndoa zako hata mia, hautapata kupendwa na kutunzwa (ikumbukwe furaha ya mwanamke ni kupendwa na kutunzwa) utaishi maisha ya upweke na umwamba wako hautakusaidia. Mwanamke hata awe billionare ila ni linungaiyembe hawezi kuwa na furaha anatembea kama zombie tu.Ukijishusha napo mwanaume anakuona kolo....bas ni shida tu
Ndo anakuona kolo Kwa kutofanya yote haya.Kwani akikuona kolo ila anakupenda, anakutunza, anakulinda na kukuthamini unapungukiwa nini ?!
Mkuu hakuna tuzo utapewa kwa mwanamke nunda, mwanamke mwamba, mwanamke ngangari zaidi utajiumiza kwa upweke. We live once.Ndo anakuona kolo Kwa kutofanya yote haya.
Hayo unaelezea wewe,lakini ukweli nilioupitia naujua mimiMkuu hakuna tuzo utapewa kwa mwanamke nunda, mwanamke
Umeandika ukweli, japo natamani sana kufahamu motive nyuma ya huu uzi.But it's only a reminder Malcom not an advice...!
Haha.Ajabu wanaume tunasema tunataka wanawake wa 25-30 yrs kuwa wanajielewa, wanajua mapenzi, wanajuab maisha, wana wisdom hawachanganyi s na x and other bullshit.
Lakini hapa mtoa mada kwa kifupi sana ameonesha kwa kiasi kuwa anaweza kuwa na baadhi ya hizo sifa tena kasema hajaolewa na PM iko wazi lakini unakuta wale walioamua KUOA hakuna anayemfata kwa lengo la mahusiano ya ndoa!
Poor us men.
Mungu atatusaidia tu tutakuwa watoto wema..!! Japo ubinadamu nao siyo rahisi.!Umeandika point sana mkuu.
Ni wanawake wachache wanaojijua kama ulivyo wewe na hata ukibadilika utajua kua umebadilika.
Na kweli huwa mnazingua sana mkipata pesa ila ndo ivo ulichoandika ni kweli kabisa.
Mungu atusaidie tu, kuna wakati it's so hard to be a woman hamjui tu.!!Said alimfungulia mke wake salon ya kike
Akamjengea nyumba
Akampa gari,
Alivyoanza kuzoeana na mastaa kina lina na zuchu wakija kwenye show wanafanya make up kwake akamuona mumewe sio hadhi yake tena akaanza dharau na mwisho wa siku missed calls 43 zikamuondoa dunia yeye na mumewe kiufupi tu mwanamke kila akisoma ndo anazidi kuwa zezeta.
Naona unahekima za kuwa mke mwemaBado Mtumishi..!
Kwanini.?
It was funHebu tell me more about it..!