Wanaume, siyo wakati wote ni wa kuwalaumu wanawake, kuna wakati sasa ni wa kuutumia 'uanaume' wenu

Wanaume, siyo wakati wote ni wa kuwalaumu wanawake, kuna wakati sasa ni wa kuutumia 'uanaume' wenu

Mtoto wa wenyewe akikushinda si lazima uwe naye, habari ya kum torture itakusaidia nini..!?
C'mon..! Umeshaoa kwanza.?
A real man can't go down that easy,, it's not our nature,, you don't poke a bear with your nails, they'll break[emoji16][emoji16]

Naaaah sijaoa
but i tried once it worked [emoji48][emoji48]
 
Ajabu wanaume tunasema tunataka wanawake wa 25-30 yrs kuwa wanajielewa, wanajua mapenzi, wanajuab maisha, wana wisdom hawachanganyi s na x and other bullshit.

Lakini hapa mtoa mada kwa kifupi sana ameonesha kwa kiasi kuwa anaweza kuwa na baadhi ya hizo sifa tena kasema hajaolewa na PM iko wazi lakini unakuta wale walioamua KUOA hakuna anayemfata kwa lengo la mahusiano ya ndoa!
Poor us men.
 
Ukijishusha napo mwanaume anakuona kolo....bas ni shida tu
Acha kiburi na umwamba hautakufikisha popote. wewe ni mwanamke na hilo halitabadilika. Kama Mungu alikuita "kiumbe dhaifu" kamwe hautamtawala mwanaume zitavunjika ndoa zako hata mia, hautapata kupendwa na kutunzwa (ikumbukwe furaha ya mwanamke ni kupendwa na kutunzwa) utaishi maisha ya upweke na umwamba wako hautakusaidia. Mwanamke hata awe billionare ila ni linungaiyembe hawezi kuwa na furaha anatembea kama zombie tu.

Kwani akikuona kolo ila anakupenda, anakutunza, anakulinda na kukuthamini unapungukiwa nini ?!
 
Ndo anakuona kolo Kwa kutofanya yote haya.
Mkuu hakuna tuzo utapewa kwa mwanamke nunda, mwanamke mwamba, mwanamke ngangari zaidi utajiumiza kwa upweke. We live once.

Take my word dear, acha kiburi na umwamba na ununda hautakufikisha popote. wewe ni mwanamke na hilo halitabadilika. Kama Mungu alikuita "kiumbe dhaifu" kamwe hautamtawala mwanaume zitavunjika ndoa zako hata mia, hautapata kupendwa na kutunzwa (ikumbukwe furaha ya mwanamke ni kupendwa na kutunzwa) utaishi maisha ya upweke na umwamba wako hautakusaidia. Mwanamke hata awe billionare ila ni linungaiyembe hawezi kuwa na furaha anatembea kama zombie tu.

Kwani akikuona kolo ila anakupenda, anakutunza, anakulinda na kukuthamini unapungukiwa nini ?!
 
Umeandika point sana mkuu.

Ni wanawake wachache wanaojijua kama ulivyo wewe na hata ukibadilika utajua kua umebadilika.

Na kweli huwa mnazingua sana mkipata pesa ila ndo ivo ulichoandika ni kweli kabisa.
 
Said alimfungulia mke wake salon ya kike
Akamjengea nyumba
Akampa gari,

Alivyoanza kuzoeana na mastaa kina lina na zuchu wakija kwenye show wanafanya make up kwake akamuona mumewe sio hadhi yake tena akaanza dharau na mwisho wa siku missed calls 43 zikamuondoa dunia yeye na mumewe kiufupi tu mwanamke kila akisoma ndo anazidi kuwa zezeta.
 
Ajabu wanaume tunasema tunataka wanawake wa 25-30 yrs kuwa wanajielewa, wanajua mapenzi, wanajuab maisha, wana wisdom hawachanganyi s na x and other bullshit.

Lakini hapa mtoa mada kwa kifupi sana ameonesha kwa kiasi kuwa anaweza kuwa na baadhi ya hizo sifa tena kasema hajaolewa na PM iko wazi lakini unakuta wale walioamua KUOA hakuna anayemfata kwa lengo la mahusiano ya ndoa!
Poor us men.
Haha.
Ahsante kwa kunichekesha James, huwezi jua in real life ni kabangi flani hivi ka chuga..!
 
Umeandika point sana mkuu.

Ni wanawake wachache wanaojijua kama ulivyo wewe na hata ukibadilika utajua kua umebadilika.

Na kweli huwa mnazingua sana mkipata pesa ila ndo ivo ulichoandika ni kweli kabisa.
Mungu atatusaidia tu tutakuwa watoto wema..!! Japo ubinadamu nao siyo rahisi.!
 
Said alimfungulia mke wake salon ya kike
Akamjengea nyumba
Akampa gari,

Alivyoanza kuzoeana na mastaa kina lina na zuchu wakija kwenye show wanafanya make up kwake akamuona mumewe sio hadhi yake tena akaanza dharau na mwisho wa siku missed calls 43 zikamuondoa dunia yeye na mumewe kiufupi tu mwanamke kila akisoma ndo anazidi kuwa zezeta.
Mungu atusaidie tu, kuna wakati it's so hard to be a woman hamjui tu.!!
 
Back
Top Bottom