Wanaume suruali!

Wanaume suruali!

Pole Lizzy!
Nadhani hii ni kukosa kazi, uvivu na kutokuwa na chakufanya. hivi mwanaume unakosa cha kufanya au story ya kukoleza kijiwe mpaka ufikie hapo? Ongelea soka basi! kama huzijui Arsenal na manchester hata yanga na simba au manyema fc, kuna vitu vingi vya kuongea siasa, dini, maisha kwa ujumla, magonjwa, nk nk. Ushauri wangu; hao sio wanaume suruali wanunulieni sketi.

Na kitopu kitovu nje

 
Kaka I did ze nidiful.

Tatizo lenu acheni kujisifia sana kwani mkikaa kimya mtapungukiwa nini??

Hajapewa anatangaza je akipewa itakuwaje?? anaweza akaenda BANGO TBC1 haifai.

hahahahahahahaaaaa
Lily waambie misifa tu
 
Mi nimemjibu yeye kuendana na matakwa yake.
Kiwango changu siwezi kukiweka hadharani ili siku nikatafuta mchumba humu visharobaro visiniletee usanii!

Eti Lizzy... hivi mzee wa busara ni mwanaume gani??

halafu kumbe wewe unapenda mwanaume pochi... dah, safari ya kumkomboa mwanamke hata kuanza bado kama ni hivi

Mkuu bwana mi pochi ya mtu sicho nnachoangalia.....hata signecha yangu inajieleza!!!
Kuhusu mwanaume busara ni yule anaetumia busara kwenye maamuzi yake...na anaekubali makosa yake....anaefikiria kwanza ili hata akianguka asimsingizie shetani!
 
Fidel kesho Jumatano usiku wa khanga moja mbendembende hauendi kuangalia khanga zilizolawanishwa na maji

Maneno ndiyo hayo ::: Thanks to Five Stars (RIP) na Mchumu Mchumu Mwaaaa!

Alhamisi ni Sikukuu - kwahiyo Wikiendi inaanza rasmi kesho!!!
 
Fidel kesho Jumatano usiku wa khanga moja mbendembende hauendi kuangalia khanga zilizolawanishwa na maji

Kesho mpwa lazima nitinge Club continental si umesema Alhamisi ni public day basi mm week end naanza leo.
 
...duh, LIZZY pole bana. Huenda jamaa kanogewa halafu alikuwa hajiamini aweza kupata mrembo kama wewe. Mvumilie bana, akishakuoa ataacha.

Ahhh hana lolote Mbu....atanogewaje na kitu ambacho hajawahi kua nacho??

Tatizo unacheka afu unasahau kale kakitu ketu....mwone kwanza.

Lizzy ananichanganya bana, sijui anataka tuvae sketi tuitwe mashoga? Mi ntabakia dume suruwale, bila kujali chochote ili mradi baioloji yangu inafanya kazi.

Babuuuuuu.....tuliza mzuka!!Tatizo hapa ni wale wanaovaa suruale huku matendo yao yamekaa zaidi kisketi sketi!!
Inatakiwa na matendo yawe kisuruale....na wewe sina hofu nawe kabisa hapo!!

hehehe mwalim wangu wa jiografia aliniambia mwanamke akisema zamu yako basi kaa mkao wa kula, kuna neema inakuja. tusemeni amen.

Hehehhe...jiandae kula mboko!!We unadhani nini???

Hiyo siku inaweza isifike maana wakati unatafuta humu, inawezekana we pia unatafutwa humu na kwingine. So kabla hujapata, unaweza kuwa umeshapatikana...

Eti ehhhhhh???Me likeeeee!!
 
Kesho mpwa lazima nitinge Club continental si umesema Alhamisi ni public day basi mm week end naanza leo.
Aisee usiniache kuna jamaa yangu alipigwa marufuku na wife wake kwenda huko Club Continental jamaa akimwambia basi twende wote na yenyewe hataki ahaaa ahaaaa ahaaaa
 
Mkuu bwana mi pochi ya mtu sicho nnachoangalia.....hata signecha yangu inajieleza!!!
Kuhusu mwanaume busara ni yule anaetumia busara kwenye maamuzi yake...anaifikiria kwanza ili hata akianguka asimsingizie shetani!

Na mapenzi ya pochi hayadumu
 
Kwahiyo wapi huwa hamna wanaume suruali? na wanawake ndevu?

Silver?
Club Continental?
Villa Park?
Muleba (my favourite!)?
 
Back
Top Bottom