Wanaume tabia hii ya asili inawaumiza wanawake(hit and run)

siri ni kwamba unaweza mpenda mwanzo ila ukikiona na kukionja tu hata nafsi yako inakua inaghairi!!Tena kabla hajakugea ulikua unamuona tofauti ila after game unaona taswira nyingine mtu huyo huyo mmoja me i define hii tabia kama ni nature ya mwanaume
 
kiukweli inaumiza sana .. ila lazima ukubaliane na hali.

Its true dear nakumbuka ule usemi t every good story there is worst scenerio ,kwa upande wa mwanamke anaumia huku upande wa pili mtu anajiona kidume
 

I dont agree with you mwanaume aliyekamilika kiafya ni kiumbe anayeongoza kutamani hili halina ubishi ndo mana hata kwenye relationship na tafiti nyingi wanaume wanaongoza ku cheat
 
this is the way it is !! hivi kale kanakuaga ka pepo au ndo asili yenyewe?maana jinsi tunavyofurahia wanawake wanakua wameumia

mwekundu hatuwezi kukaita kapepo ni hali halisi ni hulka ya wanaume na kama hata wanawake wapo kama alivyosema ndugu yangu Bulldog ni hulka yaani unapenda kabla hujaula ule muwa ila ukishaula ukaisha utamu wake ganda lake unalipiga teke halifai tena halina mvuto hata uliweke kwenye sahani ya dhahabu halivutii tena
 
Last edited by a moderator:
swadakta nakubaliana na wewe 100%
 
i dont agree with you mwanaume aliyekamilika kiafya ni kiumbe anayeongoza kutamani hili halina ubishi ndo mana hata kwenye relationship na tafiti nyingi wanaume wanaongoza ku cheat
Kwa hiyo mkuu unataka kuniambia kuwa mwanaume aliyekamilika kiafya ndio anatakiwa kubadilisha wanawake kama nguo....kwa hiyo muumba aliyeamuru kuwa watu waone na wasizini alikuwa hajui kuwa alimuumba mwanaume kwa ajili ya kuzini tu wanawake na sio kuoa.......??
 
Ngoja na mie nianze kuhit na kurun nione raha yake......Ila kiukweli acheni hiyo tabia jamani mnatuumza sana......

Ila wengine hua wanakosea sasa mtoto cute kama wewe kwanini mtu uondoke?ukinipa me nakaa
 

Regardless imani ya dini uliyonayo kutamani kutakuwepo ila itategemea katika hizo tamaa unazi control vipi kutokufanya actions na nguvu ya imani yako
 
Hahahahaaaaa! Huo ndio ukweli mwekundu. chapa ilale na husband material wote wanaswaga sawa wanapoaproch na sometimes husband material wanakua hawana swaga kama mimi tu! hata miss chagga anatambua hilo.
 
Last edited by a moderator:
Umetoboa mule mule mkuu....alaf hit n run za wanawake ni balaa....unakuta ka wa list kama 6 hvi anao wamudu vizuri alaf wote mko treated uniquely nd u all feel mko peke yenu...

Hit and run za wanawake ni likely kuwa one night stand. Anakupa mzigo halafu anakupotezea mazima. Wengi ya wanawake wa aina hii ni watu walio kwenye commited relationships au ndoa kabisa. Anakuzimia, anakulengesha unamgonga halafu kwaheri hataki umuharibie chake.
 
Wanawake wa hivyo eti ni Malaya ila wanaume wao ni uanaume.

Wanawake wa hit and run wapo makini sana kuharibu image yao kwenye jamii, Ni wasiri sana hawapendi watu wajue affairs zao. Na pia kuna wanawake ambao ni don't care, anakutamani anakutongoza unakula mzigo anakupotezea.

Wanawake wasio na ujasiri wa hii kazi ya ufirauni wa hit and run wanakaa kusubiri husband materials.
 
ila wengine hua wanakosea sasa mtoto cute kama wewe kwanini mtu uondoke?ukinipa me nakaa

Swagger za bazaz wewe ninazo kwenye diary yangu....By the way fanya mpango unimiliki...🙁:banghead:
 
Swagger za bazaz wewe ninazo kwenye diary yangu....By the way fanya mpango unimiliki...🙁:banghead:

We sitakuacha nitakua nafanya shopping ya viatu kama vya kwenye Avatar every weekend
 
Hit & run inaapply kwa jinsia zote miaka hii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…