Wanaume tabia hii ya asili inawaumiza wanawake(hit and run)

Wanaume tabia hii ya asili inawaumiza wanawake(hit and run)

mi nafikiri sababu kubwa ya hit and run
1.KUTOKUZUNGUMZA AU KUTOKUWA NA MAWASILIANO YA WAZI BAINA YA WENZA mi huwa naamini mpaka mtu akufate basi amekupenda au mpaka mtu aombe gemu basi amekupenda lakini hii tabia ya wenza kuwa mabubu ina kost
mnaingia kunako viwanja vya mautamu hakuna anaesema lolote mwanamke anasubiri umvue nguo uingize umpe ela akafue chupi
mwanaume the same applied anasubiri kama hata angalau unaeza mpa blowjob HAPO AONGEI ANAKUA ANAWAZA NA KU IMAGNE TU KWAMBA MIUJIZA ITATOKEA mwisho wa siku kila mtu anatoka pale lakini mwanaume anasema hapana huyu mwanamke ni sura tu lakini hajui lolote ngoja hata ni tafute malaya
maana trust me kinachofanya mwekundu unitongoze ni nini kama sio making love????? maana unakuuta kila mtu ana uwezo wake lakini iweje muungane au muishi pamoja ni kwa sabbu ya mapenzi
ila sasa KUNA WANAWAKE KUKWAMBIA NAOMBA ELA YA SALUNI WALA AWAZI MARA MBILI ILA KUKUULIZA NIKAAJE ILI UMPATE JOJINA VIZURI WAKATI WA MECHI HAJAWAHI HATA KUWAZA KUSEMA HIVYO HATA SIKU MOJA
NA HII SIO KWENYE MAKING LOVE TU pia katika mambo mbalimbali ya kawaida
unakuta mwanamke kumwambia mwanaume sipendi ukila uwe unabonyeza sim anaona kama nitamfanya akimbie au mambo yanayofanana na hayo
katika hili KWA WANAWAKE ili kuepusha hili unavyokutana na mwanaume kwa mara ya kazi kazi yako ni moja tu KUMTENGENEZEA MAZINGIRA ILI UWE HURU KUZUNGUMZA NAE
NAWANAUME USIWE RIGID ongea na mwenzako UTARUKA MPAKA LINI?????? au mpaka ukutane na yenye meno??????

2.stress za maisha ikiwemo pesa hapa ina kuwa kwa wote kuna wanawake kitu cha kwanza anachokiwaza ampatapo mwanaume ni PESA my dear hiyo tabia itakuwa katika akili yako mwishon utaionesha dhahiri na mwishoni UTAKIMBIWA
na pia WANAUME sio kila muda tu unawaza kutafuta pesa hii inakupunguzia performance na pia itakufanya umchukie mpenzi wako Ukiwa nae embu funga faili hilo
KAMA UNATAFUTA ELA BILA KU ENJOY ANGALIA USIWE PUNDA HADI KUFA KWAKO

3.nimechoka mkono nitarudi baadae
siri ni kwamba unaweza mpenda mwanzo ila ukikiona na kukionja tu hata nafsi yako inakua inaghairi!!Tena kabla hajakugea ulikua unamuona tofauti ila after game unaona taswira nyingine mtu huyo huyo mmoja me i define hii tabia kama ni nature ya mwanaume
 
kiukweli inaumiza sana .. ila lazima ukubaliane na hali.

Its true dear nakumbuka ule usemi t every good story there is worst scenerio ,kwa upande wa mwanamke anaumia huku upande wa pili mtu anajiona kidume
 
Kwanza tambua kuwa unapomtaja mwanaume..ujue unamzungumzia mtu aliyekomaa kifikra...ujue unamzungumzia mtu ambaye anajua anatakiwa kufanya nini na kwa wakati gani...unamzungumzia mtu ambaye ni kichwa cha familia au kiongozi wa familia kwa hiyo lazima awe na maono na akili iliyokomaa ili aweze kuiongoza vyema familia yake....mwanaume mwenye fikra pevu hawezi akasimama mbele ya umati na kujigamba kwa kuwahonga wanawake wa nje hali ya kuwa anajua kuwa hatima ya ustawi wa familia yake iko mikononi mwake..

..mwanamume mwenye utimamu wa akili hawezi akakaa sehemu za starehe na kufuja fedha hali ya kuwa familia yake inateseka kwa kukosa mahitaji muhimu......mwanaume aliye timamu hawezi kuyumbishwa na matamanio ya kimwili kwani anajua kuwa nyumbani yupo malkia wake mwenye jukumu la kumtimizia haja zake.....matendo ya kuwafunua wadada na kuwaacha huwa yanafanywa na wanaume wanaoonekana kuwa ni wanaume hali ya akili zao na maamuzi yao vinaongozwa na matamanio...hawana tofauti na wavulana wanaohangaishwa na balehe na ugeni wa mambo.....

ni matukio ambayo hayana faida kwa mwanaume zaidi ya hasara kwani huyumbisha uchumi wake.....wengi wa waliokuwa na tabia hizo nikiwa na maana ya kuwekeza rasilimali zao katika kuwafunua wadada vyupi vyao na kuwaacha wanaonekana kujutia kwani mwisho wa siku hakuna faida badala yake wanahesabu hasara.....kitu ambacho baadhi ya wanaume hawakijui ni kwamba wanawake wazuri hawaishi na kamwe hawajawahi kuisha hapa ulimwenguni kwa maana ya kuwa kila siku wanazaliwa wapya na wazuri kushinda uliowaona mwanzo....na wanavutia haswa kwa kuwa wao ni mapambo ya ulimwengu.....busara ni kuoa.....na hekima ni kutulia na mkeo....

I dont agree with you mwanaume aliyekamilika kiafya ni kiumbe anayeongoza kutamani hili halina ubishi ndo mana hata kwenye relationship na tafiti nyingi wanaume wanaongoza ku cheat
 
this is the way it is !! hivi kale kanakuaga ka pepo au ndo asili yenyewe?maana jinsi tunavyofurahia wanawake wanakua wameumia

mwekundu hatuwezi kukaita kapepo ni hali halisi ni hulka ya wanaume na kama hata wanawake wapo kama alivyosema ndugu yangu Bulldog ni hulka yaani unapenda kabla hujaula ule muwa ila ukishaula ukaisha utamu wake ganda lake unalipiga teke halifai tena halina mvuto hata uliweke kwenye sahani ya dhahabu halivutii tena
 
Last edited by a moderator:
mwekundu hatuwezi kukaita kapepo ni hali halisi ni hulka ya wanaume na kama hata wanawake wapo kama alivyosema ndugu yangu Bulldog ni hulka yaani unapenda kabla hujaula ule muwa ila ukishaula ukaisha utamu wake ganda lake unalipiga teke halifai tena halina mvuto hata uliweke kwenye sahani ya dhahabu halivutii tena
swadakta nakubaliana na wewe 100%
 
i dont agree with you mwanaume aliyekamilika kiafya ni kiumbe anayeongoza kutamani hili halina ubishi ndo mana hata kwenye relationship na tafiti nyingi wanaume wanaongoza ku cheat
Kwa hiyo mkuu unataka kuniambia kuwa mwanaume aliyekamilika kiafya ndio anatakiwa kubadilisha wanawake kama nguo....kwa hiyo muumba aliyeamuru kuwa watu waone na wasizini alikuwa hajui kuwa alimuumba mwanaume kwa ajili ya kuzini tu wanawake na sio kuoa.......??
 
Ngoja na mie nianze kuhit na kurun nione raha yake......Ila kiukweli acheni hiyo tabia jamani mnatuumza sana......

Ila wengine hua wanakosea sasa mtoto cute kama wewe kwanini mtu uondoke?ukinipa me nakaa
 
Kwa hiyo mkuu unataka kuniambia kuwa mwanaume aliyekamilika kiafya ndio anatakiwa kubadilisha wanawake kama nguo....kwa hiyo muumba aliyeamuru kuwa watu waone na wasizini alikuwa hajui kuwa alimuumba mwanaume kwa ajili ya kuzini tu wanawake na sio kuoa.......??

Regardless imani ya dini uliyonayo kutamani kutakuwepo ila itategemea katika hizo tamaa unazi control vipi kutokufanya actions na nguvu ya imani yako
 
Hahahahaaaaa! Huo ndio ukweli mwekundu. chapa ilale na husband material wote wanaswaga sawa wanapoaproch na sometimes husband material wanakua hawana swaga kama mimi tu! hata miss chagga anatambua hilo.
 
Last edited by a moderator:
Umetoboa mule mule mkuu....alaf hit n run za wanawake ni balaa....unakuta ka wa list kama 6 hvi anao wamudu vizuri alaf wote mko treated uniquely nd u all feel mko peke yenu...

Hit and run za wanawake ni likely kuwa one night stand. Anakupa mzigo halafu anakupotezea mazima. Wengi ya wanawake wa aina hii ni watu walio kwenye commited relationships au ndoa kabisa. Anakuzimia, anakulengesha unamgonga halafu kwaheri hataki umuharibie chake.
 
Wanawake wa hivyo eti ni Malaya ila wanaume wao ni uanaume.

Wanawake wa hit and run wapo makini sana kuharibu image yao kwenye jamii, Ni wasiri sana hawapendi watu wajue affairs zao. Na pia kuna wanawake ambao ni don't care, anakutamani anakutongoza unakula mzigo anakupotezea.

Wanawake wasio na ujasiri wa hii kazi ya ufirauni wa hit and run wanakaa kusubiri husband materials.
 
ila wengine hua wanakosea sasa mtoto cute kama wewe kwanini mtu uondoke?ukinipa me nakaa

Swagger za bazaz wewe ninazo kwenye diary yangu....By the way fanya mpango unimiliki...🙁:banghead:
 
Swagger za bazaz wewe ninazo kwenye diary yangu....By the way fanya mpango unimiliki...🙁:banghead:

We sitakuacha nitakua nafanya shopping ya viatu kama vya kwenye Avatar every weekend
 
Hit & run inaapply kwa jinsia zote miaka hii...
 
Back
Top Bottom