Wanaume tabia hii ya asili inawaumiza wanawake(hit and run)

Hii tabia sio nzuri hata kidogo mazoea hujenga tabia, ndo maana Wengi siku hizi hata kutulia Kwa Ndoa ni ngumu maana washajilemaza na hako katabia kachafu.
 
Hii tabia sio nzuri hata kidogo mazoea hujenga tabia, ndo maana Wengi siku hizi hata kutulia Kwa Ndoa ni ngumu maana washajilemaza na hako katabia kachafu.
Ni kweli inawezekana ikawa ni chanzo cha cheating kwenye ndoa nyingi
 
pa kutulia mtu atatulia pa kugonga na kusepa mtu anasepa!
 
Inakuwa hivi ss wanaume tunavyo mtongoza mwanamke kwanza tunakuwa na tamaa ya kula mzigo kwanza zeni mapenzi badae.sasa unakuta nwanamke anakuzungushaaa weeee unamnyenyekeaa weee zen badae anakuvulia chupi unakula MZIGO

kumbuka inakuwa mwanzo mwanamke anasumbua cna tena cna sasa badae nikila mzigo zamu inahamia upande wa pili unamchunia nayeye aumie kidogo na awe mtumwa wakati huo yy nd anaanza kukupenda kwakuwa umeisha mvua chupi hana jinsi wakati huo nass nd tunaanza kulinga coz umeishanisumbua muda cna

so kuwen katikat tusisumbuane tangu mwanzo itakuwa poa cn
 
pa kutulia mtu atatulia pa kugonga na kusepa mtu anasepa!

Sometimes kuna mahali ulipenda utulie ila unajishangaa tu baada ya kupewa shetani anakuambia tokaaa.....!!
 
Uzoefu mbona unaonyesha wanawake walioliwa kirahisi wako kwenye risky kubwa ya kuachwa?
 
Basi ni bora mkubaliane tangia mwanzo ili asi expect sana
 
Basi ni bora mkubaliane tangia mwanzo ili asi expect sana

Hapo ndio tunaposhindwa wengi...its not easy. No woman want to feel like a prostitute. So ku win tha whole thing u act as if ur there to stay while urn't.
 
mbona wanawake wengine wanafanya wanaume kama misukule. hapa eat and run shwaiinii
 
Some women make it easier for heartbreak to go their way.
 
Mada nyengine bana ww dawa yako upate mlokole wakweli si wakinafki upati papuchi ng'ooo utanyenyekea mpaka uoe😀😀
 
Hapo ndio tunaposhindwa wengi...its not easy. No woman want to feel like a prostitute. So ku win tha whole thing u act as if ur there to stay while urn't.

Swadakta marahaba
 
Tuna kaz sana cku hiz.. Aya kwa staili hyo nan ataolewa na bikra cku hz?? maisha yamechange sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…