Wanaume tabia hii ya asili inawaumiza wanawake(hit and run)

Wanaume tabia hii ya asili inawaumiza wanawake(hit and run)

Hii tabia sio nzuri hata kidogo mazoea hujenga tabia, ndo maana Wengi siku hizi hata kutulia Kwa Ndoa ni ngumu maana washajilemaza na hako katabia kachafu.
 
Hii tabia sio nzuri hata kidogo mazoea hujenga tabia, ndo maana Wengi siku hizi hata kutulia Kwa Ndoa ni ngumu maana washajilemaza na hako katabia kachafu.
Ni kweli inawezekana ikawa ni chanzo cha cheating kwenye ndoa nyingi
 
pa kutulia mtu atatulia pa kugonga na kusepa mtu anasepa!
 
Inakuwa hivi ss wanaume tunavyo mtongoza mwanamke kwanza tunakuwa na tamaa ya kula mzigo kwanza zeni mapenzi badae.sasa unakuta nwanamke anakuzungushaaa weeee unamnyenyekeaa weee zen badae anakuvulia chupi unakula MZIGO

kumbuka inakuwa mwanzo mwanamke anasumbua cna tena cna sasa badae nikila mzigo zamu inahamia upande wa pili unamchunia nayeye aumie kidogo na awe mtumwa wakati huo yy nd anaanza kukupenda kwakuwa umeisha mvua chupi hana jinsi wakati huo nass nd tunaanza kulinga coz umeishanisumbua muda cna

so kuwen katikat tusisumbuane tangu mwanzo itakuwa poa cn
 
pa kutulia mtu atatulia pa kugonga na kusepa mtu anasepa!

Sometimes kuna mahali ulipenda utulie ila unajishangaa tu baada ya kupewa shetani anakuambia tokaaa.....!!
 
inakuwa hivi ss wanaume tunavyo mtongoza mwanamke kwanza tunakuwa na tamaa ya kula mzigo kwanza zeni mapenzi badae.sasa unakuta nwanamke anakuzungushaaa weeee unamnyenyekeaa weee zen badae anakuvulia chupi unakula MZIGO

kumbuka inakuwa mwanzo mwanamke anasumbua cna tena cna sasa badae nikila mzigo zamu inahamia upande wa pili unamchunia nayeye aumie kidogo na awe mtumwa wakati huo yy nd anaanza kukupenda kwakuwa umeisha mvua chupi hana jinsi wakati huo nass nd tunaanza kulinga coz umeishanisumbua muda cna

so kuwen katikat tusisumbuane tangu mwanzo itakuwa poa cn

Uzoefu mbona unaonyesha wanawake walioliwa kirahisi wako kwenye risky kubwa ya kuachwa?
 
Umeona wapi raisi anafanya campaign baada ya kushinda uchaguzi ??? Tehe iko hvyo tu..Lol

Ifike wakati watu wote wanaume kwa wanawake watambue kwamba ngono ni starehe kama starehe zingine (as long as ni mtu mzima na unajitambua) its no point mnazungushana weee na kupotezeana wakati na pesa bila returns zozote. Nikitupa mistari ikamuingia mtoto....kinachofuata ni kulana uroda tu.

Kama nampenda na kutaka awe mwenzi wangu wa maisha nitamueleza ukweli. Alaf wanawake wengi hawajui tu, kua wife material its simply the way mwanamke anavyo jiweka i.e. Dressing, interlect, vision, manners, loving etc. Akiji establish kama mke mwema automatically men wud be attracted nd wud treat her more seriously nuthn mysterious.

Basi ni bora mkubaliane tangia mwanzo ili asi expect sana
 
Basi ni bora mkubaliane tangia mwanzo ili asi expect sana

Hapo ndio tunaposhindwa wengi...its not easy. No woman want to feel like a prostitute. So ku win tha whole thing u act as if ur there to stay while urn't.
 
mbona wanawake wengine wanafanya wanaume kama misukule. hapa eat and run shwaiinii
 
Some women make it easier for heartbreak to go their way.
 
Mada nyengine bana ww dawa yako upate mlokole wakweli si wakinafki upati papuchi ng'ooo utanyenyekea mpaka uoe😀😀
 
Hapo ndio tunaposhindwa wengi...its not easy. No woman want to feel like a prostitute. So ku win tha whole thing u act as if ur there to stay while urn't.

Swadakta marahaba
 
Tuna kaz sana cku hiz.. Aya kwa staili hyo nan ataolewa na bikra cku hz?? maisha yamechange sn
 
Back
Top Bottom