Wanaume Tabia ya Kutembea Bila Boxer/Chupi Mmeitoa Wapi?

Wanaume Tabia ya Kutembea Bila Boxer/Chupi Mmeitoa Wapi?

Hahahahaaa. Ilikuaje?
Huo Uzi upo humu mkuu, na jamaa alipokua anachukua selfie na miss world... Mara joka la kibisa likanyenyuka mujarab kabisa, na makanjanja hawakufanya kosa kuchelewa kuchukua picha... tehteehhh
 
Tatizo napendaga kuangalia hilo eneo [emoji23][emoji23][emoji23]
wewe ni mkorofi aisee, hiyo kitu ikiachwa kuwa huru hivyo ni kwa ustawi wake, ikikunjwa inakua bamia, ngoja tuimarishe ustawi wa hayo maeneo ! kwa kweli wewe upambane na hali yako tu!
 
Jana kuna kuna mpuuzi mmoja nilimwona kavaa kipajama kifupi kimeishia juu ya magoti chepesi aisee hadi raia wakawa wanamnyooshea vidole wanamshangaa nilio aibu kimtindo nikajifanya sijaona kitu, wanaume sametime chenga sana..

Huu upimbi siamini kama kanda ya ziwa au kwa wajomba zangu Rukwa upimpi kama huu unaweza kuachwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Eti wamesema biashara matangazo
 
Hahahahaaaa!!
Sipatii picha kitu kinaruka ruka tu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Si mnasemaga vibamia, ndio wameamua kuwaonyesha kuwa wako njema.
Kweli wanaume wa Dar wameamua kuua fitna ya vibamia wameamua watembee wazi
 
Huo Uzi upo humu mkuu, na jamaa alipokua anachukua selfie na miss world... Mara joka la kibisa likanyenyuka mujarab kabisa, na makanjanja hawakufanya kosa kuchelewa kuchukua picha... tehteehhh
Daaah. Aliumbuka maskini
 
wewe ni mkorofi aisee, hiyo kitu ikiachwa kuwa huru hivyo ni kwa ustawi wake, ikikunjwa inakua bamia, ngoja tuimarishe ustawi wa hayo maeneo ! kwa kweli wewe upambane na hali yako tu!
Nimepambana nayo ila mfiche kidogo
 
Back
Top Bottom