Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Huo Uzi upo humu mkuu, na jamaa alipokua anachukua selfie na miss world... Mara joka la kibisa likanyenyuka mujarab kabisa, na makanjanja hawakufanya kosa kuchelewa kuchukua picha... tehteehhhHahahahaaa. Ilikuaje?