Mkuu sehemu zenye nyumba mbalimbali ndio hatari zaidi kwa majambaziSilaha yangu kubwa ni kutokuishi Keko, Temeke, Vinguguti, Tandale, Mbagala na maeneo yote yasio na watu waliostaarabika. Hio ndio silaha ya kwanza.
Ya pili sipendagi vurugu vurugu kwahio sijiweki katika mazingira ya kutibuana na watu. Nahakikisha marafiki na jamaa ni wengi kuliko maadui.
Nyumba ziko karibu karibu ila watu wa huku wamestaarabika. Hamna vigodoro wala ushenzi ushenzi. Sungu sungu wanakuja kuchukua mtonyo wao kila mwisho wa mwezi.Mkuu sehemu zenye nyumba mbalimbali ndio hatari zaidi kwa majambazi
Hii imeendaNinapo lala nahakikisha nina weza nyoosha mkono na nikafikia mkuki na rungu.
Chini ya pillow nina kurunzi yenye mwanga mkali sana kiasi nikikumulika machoni usiku lazima upate wenge kwanza.
Ila mimi naishi kizembe sina silaha yoyote... nawaza mshale au mkuki na sime, japo bado sijavinunua.Chukua mfano wamefanikiwa kuingia mipaka ya eneo lako, wewe ndio mwanaume upo chumbani ama upo na wanafamilia chumbani, kwenye situation kama hiyo ni silaha ipi nzuri kukabiliana na wavamiaji?
Binafsi nina firimbi zile za walinzi na sungusungu, zinasaidia kumpa wenge mvamiaji kudhani kwamba pana ulinzi shirikishi, filimbi hizi hazizidi elf 2 kwa machinga.
Kwa mashambulizi ya mbali nina manati na golori za chuma, sio ya kuyachukulia poa hata kidogo, nikivuta hadi mwisho nikiachia, lazima ukae ama ubebwe.
nina rungu kama la komredi kipepe kwa mashambulizi ya ana kwa ana man to man, lakini ningependa tuelimishane zaidi.
Kupitia uzi huu tuelimishane silaha za kuwa nazo, kuzificha, matumizi sahihi, n.k.
Panga tu lakimasai aka NgomosiChukua mfano wamefanikiwa kuingia mipaka ya eneo lako, wewe ndio mwanaume upo chumbani ama upo na wanafamilia chumbani, kwenye situation kama hiyo ni silaha ipi nzuri kukabiliana na wavamiaji?
Binafsi nina firimbi zile za walinzi na sungusungu, zinasaidia kumpa wenge mvamiaji kudhani kwamba pana ulinzi shirikishi, filimbi hizi hazizidi elf 2 kwa machinga.
Kwa mashambulizi ya mbali nina manati na golori za chuma, sio ya kuyachukulia poa hata kidogo, nikivuta hadi mwisho nikiachia, lazima ukae ama ubebwe.
nina rungu kama la komredi kipepe kwa mashambulizi ya ana kwa ana man to man, lakini ningependa tuelimishane zaidi.
Kupitia uzi huu tuelimishane silaha za kuwa nazo, kuzificha, matumizi sahihi, n.k.
[emoji848][emoji849]tafuta uchawi tu hautajutia.
Hata hapo sebuleni hawatafika maana wakivuka tu geti lako wote nyuma wanaloa na wakijitia viburi lazima wapatwe na usingizi hapohapo sebuleni pamoja na kupigwa kipara wote.
picha yake mkuuKanunue kifaa wanachotumiaga polisi kupiga shoti mtu..vinauzwa siku hizi..kariakoo vipo kibao..!!
mhMungu ndie mlinzi wangu na wa nyumba yangu.
Mtegemeeni Mungu kwa kila jambo...
Mkishimdwa kumtegemea Mungu basi tumieni uchawi..
Sasa wewe uko peke yako afu njemba kama kumi zenye uzoefu wa ujambazi zikiwa na silaha za kisasa na za jadi.... unategemea utatoka na kipanga chako ukawakabili afu utoke salama?
Hapo miaka ya nyuma kulikuwa na vibastola vya kuchezea watoto,vilikuwa vinauwezo wa kurusha maji kwa nguvu umbali wa takriban miter 8 hivi,hivi ukikipata ukaweka ndani yake substance inayofaa wezi wanakaa chini.[QUOTE="
Pilipili umemamliza Kila kitu, Mimi huwa sikosi Acidic ndani kwa hio huwa namaliza, nina chemicals za hatari sana ambazo nawadondosha taratibu
hivi vikoje picha tafadhaliNavitafuta sana hivi vidude. Tena vile vinapiga shoti hata kama kasimama umbali wa mita tano hivi
Tisha sana aisee [emoji2]Well umeongelea manati ni sawa yanaweza kukusaidia kwa mbali,lakini chukua mfano wameishafanikiwa kuingiza sebuleni wewe uko chumbani, kwenye situation kama hiyo bastola ni muafaka haswa kama umejificha kwenye Kona fulani unawadondosha mmoja mmoja, lakini swali je ni Kila mmoja wetu ana sifa ya kumiliki bastola jibu ni hapana,
trick inayoweza kukusaidia ni kuwa na switch inayoweza kuzima umeme nyumba nzima, halafu unavaa miwani Yako ya night vision, huku umeshika chupa ya plastic ya nusu Lita, zile za maji ya kunywa, ikiwa imejaa maji yaliyochaganywa na pilipili ya unga Kali kabisa kifuniko kikiwa kimetobolewa tundu dogo unene wa njiti mbili za kiberiti, kwa sababu hawakuoni wewe unawaona unawaminyia maji ya pilipili kwenye macho, wakati wanafikicha macho unamaliza game na silaha za jadi halafu unawasachi mifukoni kama walitembea na hela'then unaripoti tukio kwa vyombo vya usalama.
🤣🤣🤣We jamaa fala sana yaani umenikumbusha mbali sanaBinafsi silaha yangu ya kwanza ni kua peace na wengi wanaonizunguka!
Silaha ya pili ni miguu yangu nipo vizuri sana kwenye speed humu ndani wote mkafanye mazoezi miezi sita ndo mfikie robo ya speed yangu🤣
Silaha ya tatu ndo kama sime, panga na rungu
Wewe haikuingii?Pilipili ilotwangwa unawatia machoni