Wanaume tuelimishane ulinzi, ni silaha gani nje ya bunduki ni nzuri kuimiliki sehemu unayoishi?

Wanaume tuelimishane ulinzi, ni silaha gani nje ya bunduki ni nzuri kuimiliki sehemu unayoishi?

[QUOTE="
Pilipili umemamliza Kila kitu, Mimi huwa sikosi Acidic ndani kwa hio huwa namaliza, nina chemicals za hatari sana ambazo nawadondosha taratibu
[/QUOTE]
Hapo miaka ya nyuma kulikuwa na vibastola vya kuchezea watoto,vilikuwa vinauwezo wa kurusha maji kwa nguvu umbali wa takriban miter 8 hivi,hivi ukikipata ukaweka ndani yake substance inayofaa wezi wanakaa chini.
 
Chukua mfano wavamiaji wameishafanikiwa kuingia sebuleni wewe upo chumbani ama upo na wanafamilia chumbani, kwenye situation kama hiyo ni silaha ipi nzuri kukabiliana na wavamiaji?

Binafsi nina rungu kama la komredi kipepe kwa mashambulizi ya ana kwa ana man to man, lakini ningependa tuelimishane zaidi.

Kupitia uzi huu tuelimishane silaha za kuwa nazo, kuzificha, matumizi sahihi, n.k.
Bakora
 
Mshale wa sumu. Ukimuona mwizi huna haja ya kufungua mlango muanze kujibizana na silaha coz wezi wanaweza kukuzidi nguvu na mwishowe wakakuua au kukudhuru. Wewe fungua dirisha kidogo mpelekee mshale wa sumu akafie mbele ya safari
 
Chukua mfano wavamiaji wameishafanikiwa kuingia sebuleni wewe upo chumbani ama upo na wanafamilia chumbani, kwenye situation kama hiyo ni silaha ipi nzuri kukabiliana na wavamiaji?

Binafsi nina rungu kama la komredi kipepe kwa mashambulizi ya ana kwa ana man to man, lakini ningependa tuelimishane zaidi.

Kupitia uzi huu tuelimishane silaha za kuwa nazo, kuzificha, matumizi sahihi, n.k.
Apo kwenye rungu ndio penyewe inajikoki yenyewe upige kichwani, shingoni au uvunje meno na taya ya mwizi
 
Chukua mfano wavamiaji wameishafanikiwa kuingia sebuleni wewe upo chumbani ama upo na wanafamilia chumbani, kwenye situation kama hiyo ni silaha ipi nzuri kukabiliana na wavamiaji?

Binafsi nina rungu kama la komredi kipepe kwa mashambulizi ya ana kwa ana man to man, lakini ningependa tuelimishane zaidi.

Kupitia uzi huu tuelimishane silaha za kuwa nazo, kuzificha, matumizi sahihi, n.k.
MBIO
 
1692819951876.png
 
Majambazi hawavamii mtu wa kawaida, majambazi wanavamia wafabiashara au mtu ambaye ameuzwa na informer wao kama kuna pesa ndani.

Wezi wengine waliobaki kutokana na maendeleo ya teknolojia ni wezi wa timing ambao wanaspray Dawa ya usingizini shida yao kubwa ni flat screen tu.

Kwa sasa wezi wa kuvamia kundi ndani ya nyumba bila kujuwa wanakwenda kuiba nini labda maeneo ya ushenzini sana ambalo mtu hupaswi kuishi maeneo hayo au maeneo yenye makazi mapya nyumba bado ziko mbalimbali napo si sehemu Salama kuishi.

Kwa sasa ni muhimu sana kuwa na mifumo ya teknolojia ya camera na alarm hii itakusaidia hawa wezi wa timing kuwadhibiti.

Watu wenye mtihani wa self ni defence ni matajili na wanafañyabiasha hata ukiwa na bastola na bunduki bado unahitaji mifumo mingi ya kujilinda.

Kuna Mzee mmoja wa Kizaramo mitaa yangu ana maduka makubwa tu na hajawahi kuvunjiwa kuna simulizi zina sema ameyazindika, lakini mwaka Jana walimlia timing na Bodaboda ile ametoka bank tu anashuka kwenye gari baraza ni akawekwa ranch zilipigwa risasi tatu akamuuliwa akabidhi ile bahasha kubwa yenye akatii Amri jamaa wakabeba bahasha na Bodaboda yao wakasepa.

Kwahiyo hata kwenye mabenki nadhani kuna tatizo possibly mtandao wa majambazi unaanzia benki.
Hakika🤣🤣🤣🪑
 
Well umeongelea manati ni sawa yanaweza kukusaidia kwa mbali,lakini chukua mfano wameishafanikiwa kuingiza sebuleni wewe uko chumbani, kwenye situation kama hiyo bastola ni muafaka haswa kama umejificha kwenye Kona fulani unawadondosha mmoja mmoja, lakini swali je ni Kila mmoja wetu ana sifa ya kumiliki bastola jibu ni hapana,

trick inayoweza kukusaidia ni kuwa na switch inayoweza kuzima umeme nyumba nzima, halafu unavaa miwani Yako ya night vision, huku umeshika chupa ya plastic ya nusu Lita, zile za maji ya kunywa, ikiwa imejaa maji yaliyochaganywa na pilipili ya unga Kali kabisa kifuniko kikiwa kimetobolewa tundu dogo unene wa njiti mbili za kiberiti, kwa sababu hawakuoni wewe unawaona unawaminyia maji ya pilipili kwenye macho, wakati wanafikicha macho unamaliza game na silaha za jadi halafu unawasachi mifukoni kama walitembea na hela'then unaripoti tukio kwa vyombo vya usalama.
😂😂😂
 
Inategemeana na mpinzani kaja na silaha gani.

Kama mpinzani anakitu cha mlipuko yani analenga akiwa mbali unafikiri we na lungu lako mtakuwa na umuhimu gani zaidi ya kumpa sababu mvamizi za kuzidi kufyatua trigger?

Ila kama amekuja kienyeji hapo ndio unaweza kuangalia mapanga yako
 
Kama huna pistol Mlango wa chumbani tengeneza uwe mfupi mtu asiweze kuingia bila kuinama alaf unalala na panga.
Akitaka kuingia tu unapiga panga ya shingo 1
😂 Hii idea ya kufanyia kazi, japo nimepanga ngoja niongee na mwenye nyumba
 
Binafsi silaha yangu ya kwanza ni kua peace na wengi wanaonizunguka!

Silaha ya pili ni miguu yangu nipo vizuri sana kwenye speed humu ndani wote mkafanye mazoezi miezi sita ndo mfikie robo ya speed yangu🤣

Silaha ya tatu ndo kama sime, panga na rungu
We ni type ya Azizi Ki

Una mikimbio
 
Back
Top Bottom