Wanaume tuelimishane ulinzi, ni silaha gani nje ya bunduki ni nzuri kuimiliki sehemu unayoishi?

Wanaume tuelimishane ulinzi, ni silaha gani nje ya bunduki ni nzuri kuimiliki sehemu unayoishi?

Binafsi silaha yangu ya kwanza ni kua peace na wengi wanaonizunguka!

Silaha ya pili ni miguu yangu nipo vizuri sana kwenye speed humu ndani wote mkafanye mazoezi miezi sita ndo mfikie robo ya speed yangu🤣

Silaha ya tatu ndo kama sime, panga na rungu
Hyo speed utaitumia kukimbia juu darini au chumba kwa chumba?
 
Silaha yangu kubwa ni kutokuishi Keko, Temeke, Vinguguti, Tandale, Mbagala na maeneo yote yasio na watu waliostaarabika. Hio ndio silaha ya kwanza.

Ya pili sipendagi vurugu vurugu kwahio sijiweki katika mazingira ya kutibuana na watu. Nahakikisha marafiki na jamaa ni wengi kuliko maadui.

We umetisha mbayaaa
 
Chukua mfano wavamiaji wameishafanikiwa kuingia sebuleni wewe upo chumbani ama upo na wanafamilia chumbani, kwenye situation kama hiyo ni silaha ipi nzuri kukabiliana na wavamiaji?

Binafsi nina rungu kama la komredi kipepe kwa mashambulizi ya ana kwa ana man to man, lakini ningependa tuelimishane zaidi.

Kupitia uzi huu tuelimishane silaha za kuwa nazo, kuzificha, matumizi sahihi, n.k.

Watu wanaongelea silaha, mapanga ,visu na kadhalika.

Lakini first line of defence ni situational awareness.
Paying attention to changes in your surroundings including, peoples wanao kuzunguka. Hiyo itakupa ability ya ku detect early signs of danger before hata haijatokea
 
Silaha nyingine ni kujichanganya simetimes na vijana kijiweni,Mimi huwa napata time ya kukaa na vijana wahuni,nanunua mizinga ya k vant pack za sigara tunakaa,unakuta wanajimaliza wenyewe .utasikia sema nin mshua hata nisikie jambo gani baya kwako ntakustua tuu huna bayaa.kuna siku niliibiwa nondo nje walirudisha
 
mungu alijua ayo mambo yapo ndomaana akakupa sauti. iyo ndo silaha kubwa kuliko zote.

si unaonaga mtoto akizaliwa ni lazma alie kwanza? sasa iyo ndo silaha namba moja zingine zote zinafata baadae.

iyo sauti yako ndo silaha kubwa! km una sauti ndogo tumia filimbi!

wale wahalifu wa usiku ukiwapigia makelele lazma wapoteane.
Usiku hakuna ambae atatoka
 
Chukua mfano wavamiaji wameishafanikiwa kuingia sebuleni wewe upo chumbani ama upo na wanafamilia chumbani, kwenye situation kama hiyo ni silaha ipi nzuri kukabiliana na wavamiaji?

Binafsi nina rungu kama la komredi kipepe kwa mashambulizi ya ana kwa ana man to man, lakini ningependa tuelimishane zaidi.

Kupitia uzi huu tuelimishane silaha za kuwa nazo, kuzificha, matumizi sahihi, n.k.
Mimi nimenunua tundikali nimeiweka kwenye syringe na iko peaceful packed kwenye drawer ya MEZA ya kitanda.... yaani ukijichanganya naispray usoni chap
 
Back
Top Bottom