Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Watu makini, karibuni sana kwa mjadala.Ewe Mwanaume Mwenzangu fanya yoooote lakini hakikisha Mkeo analala Upande/Mkono wako wa kushoto au Upande ambao Moyo wako ulipo. Tangu unajenga nyumba au unapangilia kitanda chako hakikisha matoeo yawe hivyo. Wale mliopita Jando mnaelewa nguvu ya dhana hii kimapenzi, Kibaiolojia na hata Kiusalama📌