Wanaume tujadiliane; nini faida za kulala upande wa kulia wa mwanamke?

Wanaume tujadiliane; nini faida za kulala upande wa kulia wa mwanamke?

Mlango si upo chini kule utalalaje miguuni,embu acha ubishi 😠wamesema upande wa kulia wa mwanamke🙄
Sasa ticha, twende taratibu, si tunaongelea mlango huu huu wa kuingia na kutoka chumbani au mlango upi mwingine?
Kiafya mwanamke atalala upande wa ukuta!
 
Mimi mwenyewe natumia mkono wa kushoto kwa hiyo mke wangu Ni analala upande wa kulia.Ova!
 
Hakuna faida wala hasara.
Kwangu mimi nimezoea lazima demu wangu au mwanamke yoyote akae kushoto kwangu, au alala kushoto kwangu..
Inakuwa rahisi kumu handle kuliko akiwa kulia ni mazoea tu
 
Back
Top Bottom