Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Watu makini, karibuni sana kwa mjadala.Ewe Mwanaume Mwenzangu fanya yoooote lakini hakikisha Mkeo analala Upande/Mkono wako wa kushoto au Upande ambao Moyo wako ulipo. Tangu unajenga nyumba au unapangilia kitanda chako hakikisha matoeo yawe hivyo. Wale mliopita Jando mnaelewa nguvu ya dhana hii kimapenzi, Kibaiolojia na hata Kiusalama📌
Kabisa!!Inategemea unatumia Mkono gan zaidi .
Nakazia. I STRESS!Wakati nimelala kifudifudi au Chali?
Nataka nijue mi mwanamke wakati nimelala Chali au kifudifudi huo upande wa kulia?Nakazia. I STRESS!
🤣🤣🤣🤣Kibuyu tenaLalia kushoto
1. Ili tumbo likae vzr mkao wa kibuyu
2. Ili pafu la kulia liingize hewa vzr maana lina shapu kona
Hii ni ukiwa umelala kwa mgongo....Kidume mara nyingi anakuwa mkono wako wa kulia....Nataka nijue mi mwanamke wakati nimelala Chali au kifudifudi huo upande wa kulia?
Sawa nimekuelewa,asanteHii ni ukiwa umelala kwa mgongo....Kidume mara nyingi anakuwa mkono wako wa kulia....
Ila inategemea na Mwanaume anatumia sana mkono gani....,,,Na faida nyingine nyingi...
Left lateral position✌️Lalia kushoto
1. Ili tumbo likae vzr mkao wa kibuyu
2. Ili pafu la kulia liingize hewa vzr maana lina shapu kona