Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Mnatuchanganya.
Mara wabaya, mara wema.
Tushike lipi!!!?
Mara wabaya, mara wema.
Tushike lipi!!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetukosea sana.....Mwanamke ambae sio ndugu yako anaweza kukupa kitu gani kingine? Ama nje ya uchi mwanamke anaweza kutoa kitu gani kingine cha ziada?
😏😏😏😏 fisiNipe wema wako salt..😂
Kuwa mpole vitu vidogo hivi.. kwani huna wema..?😏😏😏😏 fisi
Wema unauzwa😁Kuwa mpole vitu vidogo hivi.. kwani huna wema..?
Shingapi..?wema unauzwa😁
[emoji3][emoji3]sio kidogo yaniAmekosa yeye amekosa sana[emoji28][emoji28][emoji28]
Acha zinaa mkuu hata vitabu vya Mungu vinatuambia usiziniUlitaka niseme nini? Nje ya uchi kwa mwanamke ambae sio ndugu yako atakupa nini? Hakuna.
Na je wanaume hua tunawatafta wanawake watupe hela ama uchi? Jibu liko wazi.
Kazi ipo kwa kweliKuweni waelewa sisi tupo simple sana jamaa ameeleza tunataka chi tu..[emoji16]
Daudi alikua anakula wake za watu mchana kweupe jua limewaka tena anaua waume zao na bado hivyo vitabu vinasema mungu anamuita daudi mboni ya jicho lake, bado hnadanganywa na wazungu kuna kitu kinaitwa uzinzi?Acha zinaa mkuu hata vitabu vya Mungu vinatuambia usizini
Wala hakuna faida yoyote unayoipata ktk hili .
Ndo aliloliona.Kumbe wema ni kutoa uchi.....daah!!!
Huu mwaka uishe
Mwanamke nje ya uchi anaweza kutoa nini cha ziada mkuu?
Msenge weweNaomba kwamba kuwapa heshima wanawake wote mnaosoma hili bandiko.
Naomba kukiri kwamba wanawake ni viumbe wema sana, sana. Sehemu kubwa sana ya matatizo ambayo wanawake wanasemekana wanayo yanatoka kwa sisi wanaume.
Binafsi toka nimewajua wanawake, naishi maisha ya furaha sana. Wanawake ukiishi ama ukiwaelewa vizuri, kukutunuku uchi wala sio shida kabisa kwao, watakutunuku hadi utakimbia uchi.
Wanawake nawatakia mfanikiwe kwa kila mnachofanya mama zangu. Nyie ni viumbe wema sana hapa Duniani.
Katika amri kumi za Mungu ipo amri inayosema 'usizini' (kutoka 20:14, kumbukumbu 5:18)Daudi alikua anakula wake za watu mchana kweupe jua limewaka tena anaua waume zao na bado hivyo vitabu vinasema mungu anamuita daudi mboni ya jicho lake, bado hnadanganywa na wazungu kuna kitu kinaitwa uzinzi?
Suleiman alikua na wanawake 1000 na wote anawapiga mashine vilivyo, wewe unadanganywa uwe na mwanamke mmoja halafu unakubali?
Achana na hadithi za kijinga mkuu.
NAKAZIANaomba kwamba kuwapa heshima wanawake wote mnaosoma hili bandiko.
Naomba kukiri kwamba wanawake ni viumbe wema sana, sana. Sehemu kubwa sana ya matatizo ambayo wanawake wanasemekana wanayo yanatoka kwa sisi wanaume.
Binafsi toka nimewajua wanawake, naishi maisha ya furaha sana. Wanawake ukiishi ama ukiwaelewa vizuri, kukutunuku uchi wala sio shida kabisa kwao, watakutunuku hadi utakimbia uchi.
Wanawake nawatakia mfanikiwe kwa kila mnachofanya mama zangu. Nyie ni viumbe wema sana hapa Duniani.
Amri 10 zilitoka kabla ya Daudi/Suleiman hajazaliwa ama baada?Katika amri kumi za Mungu ipo amri inayosema 'usizini' (kutoka 20:14, kumbukumbu 5:18)
shikeni mara wema*Mnatuchanganya.
Mara wabaya, mara wema.
Tushike lipi!!!?