50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,088
- 4,059
hapo kwenye Amri ukienda sana utafeli.Amri 10 zilitoka kabla ya Daudi/Suleiman hajazaliwa ama baada?
Halafu hizo Amri walipewa wayahudi ama Tulipewa watu wote?
Kwa nini ulete sheria za kiyahudi ama walizopewa wayahudi na sisi tusio wayahudi tuzitumie?
Muhimu ujue kama unavunja Amri ama Unazingatia Amri.