Wanaume tujifunze kuishi na wanawake vizuri. Wanawake ni viumbe wema sana

Mnatuchanganya.

Mara wabaya, mara wema.

Tushike lipi!!!?
 
Ulitaka niseme nini? Nje ya uchi kwa mwanamke ambae sio ndugu yako atakupa nini? Hakuna.

Na je wanaume hua tunawatafta wanawake watupe hela ama uchi? Jibu liko wazi.
Acha zinaa mkuu hata vitabu vya Mungu vinatuambia usizini

Wala hakuna faida yoyote unayoipata ktk hili .
 
Acha zinaa mkuu hata vitabu vya Mungu vinatuambia usizini

Wala hakuna faida yoyote unayoipata ktk hili .
Daudi alikua anakula wake za watu mchana kweupe jua limewaka tena anaua waume zao na bado hivyo vitabu vinasema mungu anamuita daudi mboni ya jicho lake, bado hnadanganywa na wazungu kuna kitu kinaitwa uzinzi?

Suleiman alikua na wanawake 1000 na wote anawapiga mashine vilivyo, wewe unadanganywa uwe na mwanamke mmoja halafu unakubali?

Achana na hadithi za kijinga mkuu.
 
Hawa viumbe jau sana acha kuwapamba kisa umepewa uchi mkuu

umeyumba
 
Mwanamke nje ya uchi anaweza kutoa nini cha ziada mkuu?

Hata Mungu alilijua hilo mapemaaa

1 Wakorintho 7:5
Msinyimane haki zenu, isipokuwa kama mnaafikiana kufanya hivyo kwa kitambo tu, ili mpate nafasi nzuri ya kusali. Kisha rudianeni tena mara, ili Shetani asije akawajaribuni kwa sababu ya udhaifu wenu.
 
Msenge wewe
 
Mleta mda tenda wema uende zako, usisubiri kutunukiwa uch.i...
 
Katika amri kumi za Mungu ipo amri inayosema 'usizini' (kutoka 20:14, kumbukumbu 5:18)
 
NAKAZIA
 
Katika amri kumi za Mungu ipo amri inayosema 'usizini' (kutoka 20:14, kumbukumbu 5:18)
Amri 10 zilitoka kabla ya Daudi/Suleiman hajazaliwa ama baada?

Halafu hizo Amri walipewa wayahudi ama Tulipewa watu wote?

Kwa nini ulete sheria za kiyahudi ama walizopewa wayahudi na sisi tusio wayahudi tuzitumie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…