50thebe JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 4,088 Reaction score 4,059 Jan 9, 2022 #41 The Underboss said: Amri 10 zilitoka kabla ya Daudi/Suleiman hajazaliwa ama baada? Halafu hizo Amri walipewa wayahudi ama Tulipewa watu wote? Kwa nini ulete sheria za kiyahudi ama walizopewa wayahudi na sisi tusio wayahudi tuzitumie? Click to expand... hapo kwenye Amri ukienda sana utafeli. Muhimu ujue kama unavunja Amri ama Unazingatia Amri.
The Underboss said: Amri 10 zilitoka kabla ya Daudi/Suleiman hajazaliwa ama baada? Halafu hizo Amri walipewa wayahudi ama Tulipewa watu wote? Kwa nini ulete sheria za kiyahudi ama walizopewa wayahudi na sisi tusio wayahudi tuzitumie? Click to expand... hapo kwenye Amri ukienda sana utafeli. Muhimu ujue kama unavunja Amri ama Unazingatia Amri.
Designer_3434 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2015 Posts 4,901 Reaction score 3,941 Jan 9, 2022 #42 ngoja yakupate usisahau mrejesho
Pununkila JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 689 Reaction score 1,706 Jan 9, 2022 #43 Huu mwaka umekuwa mgumu mapema...
Yohimbine JF-Expert Member Joined Jan 6, 2019 Posts 873 Reaction score 1,841 Jan 9, 2022 #44 Chausiku ona sasa utamu wako wa mbususu unatolewa ushuhuda huku 🥲Anyway hongera mkuu
BoGotta JF-Expert Member Joined Aug 21, 2015 Posts 740 Reaction score 674 Jan 9, 2022 #45 Kwa hiyo we kupewa Ch!U tu umeona kama umesaidiwa msaada na UN? Kwamba ni kwa neema tu.🤔