Wanaume tujifunze kujenga ukaribu mkubwa zaidi na familia zetu

Wanaume tujifunze kujenga ukaribu mkubwa zaidi na familia zetu

Asalaam,

Natumaini wote mpo salama na poleni na mihangaiko yote ya week nzima.

Niende direct kwenye mada yangu, Ndugu zangu wanaume kiukweli kabisa tunajisahau sana kwenye kuweka ukaribu mkubwa na familia zetu kipindi..
Umetukumbusha suala muhimu sana
 
UKweli mchungu, watajifanya hawajauona huu uzi.

Wapo wale watoka kazini saa 12... wanapita baa mpk usiku wa manane ndo wanarudi.
Nyumba zao wamegeuza mahali pa kubadilishia nguo...hlf wakistaafu wanataka familia iwe karibu nao.
Hatari kabisa. Tunalea matatizo alafu tunajidanganya yataisha bila kuchukua hatua sahihi. Haha.
Mimi hata urafiki na dereva wangu wa ofisini sitaki maana najua nikiacha hata kazi, hawezi kuendelea kuwa mtu wangu wa karibu. Itabaki tunapigiana simu kwa nadra sana.
 
Back
Top Bottom