Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,942
- 4,230
Ila usikamatwe kijana.Hakuna mtu wa mtu kijana,kuchapiwa hakuepukiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila usikamatwe kijana.Hakuna mtu wa mtu kijana,kuchapiwa hakuepukiki
EwaaaaaNawakumbusha tuu
View attachment 3213552
Ila usikamatwe kijana.
Mimi si mpumbavu hata wewe si mpumbavu ndiyo maana umereply Uzi huuSoma kichwa cha andiko lako mara 5 ugundue upumbavu wako
Kawaida tuMnaongea sana mwisho wa siku lazima mpigwe pesa.
SidhaniNatabiri huu uzi utatembea balaa.
Anyaways mimi mwanamke ili mradi awe na couchie inayopumua vizuri. Huyu hata upstairs yuko vyema
Hii haituhusu sisi ma jobless 🤣😂Kumekuchaaaaaa kumekucha kwa sauti ya Mzee Majuto
Hili Rais wa majobless promax halituhusu hata kidogoHii haituhusu sisi ma jobless 🤣😂
nakala imfikie Bolotoba aliko 🤣, kudumu chama Cha ma jobless pro max 😂Hili Rais wa majobless promax halituhusu hata kidogo
Tupo busy kujenga chamaa
mzabzab eti huyu jamaa Yuko sahihi kweli?Salaam jamiiforum
Wanaume wenzangu hapa Duniani tunapita, hivyo kila kitu kizuri ikiwezekana kifanyike na siyo kujibana saaana jipe Raha tofauti tofauti mara moja moja,
Safiri kwenda sehemu mbalimbali kama una afford,
Kula vizuri ,vaa vizuri ,endesha usafiri mzuri hata kama hujazifikia ndoto ila fanya kitu roho inapenda.
Mimi starehe yangu kubwa Kwa zaidi ya miaka 20 ilikuwa ni pombe kabla ya kuacha Kwa hiyari mwaka Jana baada ya kupoteza kiasi kikubwa cha pesa kisa pombe.
Sasa leo nataka kushare na ninyi kitu kimoja kuhusu wanawake pindi tunapokutana nao,haswa hawa wenye nafasi serikalini
Hapa sizungumzii anayejiuza indirect,
Ila namzungumzia mwanamke ambaye unamtongoza kisha mnakubaliana mkutane lodge au popote mnapopajua,wanawake hawa Kwanza Wana kazi zao ,pia hawataki waonekane wanakuuzia yeye anachoangalia ni kujiongeza kwako,ukiwa hueleweki anakupiga chini,utakuta kapunguza mazoea na wewe.huyu ukitaka awe na wewe fanya hivi
Usipende kumpa hela baada ya kufanya mambo yenu,mpe pesa Kwanza kisha ndiyo mpange namna ya kukutana,utakuwa umemuheshimisha sana,na atakupa mapenzi ya kweli na ya wazi yasiyo na chembe ya unafiki
Tena usipende kumpa cash mpe Kwa njia ya muamala,yaani hata kama mpo wote we mtumie Kwa akaunti yake,halafu usiombe game siku hiyohiyo,tulia jifanye huna haraka.ikiwa ana usafiri muwekee mafuta kisha panga muda usiwe mwenye stori nyingi tengeneza ubize,simu zake kadhaa waweza zipotezea siyo kila ukiona simu yake unapokea kama wito wa nini.
Ikiwezekana akianza yeye kutafuta location itakuwa poa zaidi.usiulize kapajuaje wewe chukua tahadhari tu
Heshimu simu zake,mwache aongee usioneshe unakereka na simu zake jikaze
Usiwe muongeaji,Ila jitahidi kujibu maswali yake kifupi na kuwe na ukweli walau asilimia 70,mweleze kama una mke na watoto wako hii itakufanya uwe huru zaidi.
Hakikisha unapomtaka mtu wa namna hii unakuwa na pesa ya kutosha hata kama unapiga na kupita ,hakikisha hajutii kukutana na wewe.
Piga mashine,ichape sawa sawa kama vile hamtaonana tena,ukijiridhisha na kazi yako nzuri mpe pole hata ya kinafiki
Binafsi napenda Sana wanawake watu wazima kidogo na wenye kazi zao
Weekend njema
Nenda trading concert, skills training uta wakuta.Tatizo utakutana nao wapi?
Matokeo ya form 4 yameshatoka, mrudi shule sasa
Mwaka mpya tumeupokea vizuri ,sijui kwako mkuuEngineer katika moja na mbili .
Happy new year boss.