Wanaume tukumbushane kidogo mbinu za kivita Kula wademu wenye kazi na mishahara mikubwa

Wanaume tukumbushane kidogo mbinu za kivita Kula wademu wenye kazi na mishahara mikubwa

Hizo mbinu ni hata kwa Mo na ghalib au ni za wale pangu pa kavu?!
Umaskini sio mzuri kabisa
 
Lazima niwe kaunta book na peni bila hivyo nitasahau mengine.
 
Mtu ana hela lakini unatumia mbinu ya kumpa hela tena ili umng'oe , raha ya kumla mwanamke mwenye pesa ni kumla bure .Ikibidi hata mahitaji alipie yeye , kazi yalo ni kupelekea moto tu.
 
Salaam jamiiforum

Wanaume wenzangu hapa Duniani tunapita, hivyo kila kitu kizuri ikiwezekana kifanyike na siyo kujibana saaana jipe Raha tofauti tofauti mara moja moja,

Safiri kwenda sehemu mbalimbali kama una afford,

Kula vizuri ,vaa vizuri ,endesha usafiri mzuri hata kama hujazifikia ndoto ila fanya kitu roho inapenda.

Mimi starehe yangu kubwa Kwa zaidi ya miaka 20 ilikuwa ni pombe kabla ya kuacha Kwa hiyari mwaka Jana baada ya kupoteza kiasi kikubwa cha pesa kisa pombe.

Sasa leo nataka kushare na ninyi kitu kimoja kuhusu wanawake pindi tunapokutana nao,haswa hawa wenye nafasi serikalini

Hapa sizungumzii anayejiuza indirect,

Ila namzungumzia mwanamke ambaye unamtongoza kisha mnakubaliana mkutane lodge au popote mnapopajua,wanawake hawa Kwanza Wana kazi zao ,pia hawataki waonekane wanakuuzia yeye anachoangalia ni kujiongeza kwako,ukiwa hueleweki anakupiga chini,utakuta kapunguza mazoea na wewe.huyu ukitaka awe na wewe fanya hivi

Usipende kumpa hela baada ya kufanya mambo yenu,mpe pesa Kwanza kisha ndiyo mpange namna ya kukutana,utakuwa umemuheshimisha sana,na atakupa mapenzi ya kweli na ya wazi yasiyo na chembe ya unafiki

Tena usipende kumpa cash mpe Kwa njia ya muamala,yaani hata kama mpo wote we mtumie Kwa akaunti yake,halafu usiombe game siku hiyohiyo,tulia jifanye huna haraka.ikiwa ana usafiri muwekee mafuta kisha panga muda usiwe mwenye stori nyingi tengeneza ubize,simu zake kadhaa waweza zipotezea siyo kila ukiona simu yake unapokea kama wito wa nini.

Ikiwezekana akianza yeye kutafuta location itakuwa poa zaidi.usiulize kapajuaje wewe chukua tahadhari tu

Heshimu simu zake,mwache aongee usioneshe unakereka na simu zake jikaze

Usiwe muongeaji,Ila jitahidi kujibu maswali yake kifupi na kuwe na ukweli walau asilimia 70,mweleze kama una mke na watoto wako hii itakufanya uwe huru zaidi.

Hakikisha unapomtaka mtu wa namna hii unakuwa na pesa ya kutosha hata kama unapiga na kupita ,hakikisha hajutii kukutana na wewe.

Piga mashine,ichape sawa sawa kama vile hamtaonana tena,ukijiridhisha na kazi yako nzuri mpe pole hata ya kinafiki

Binafsi napenda Sana wanawake watu wazima kidogo na wenye kazi zao


Weekend njema
mzabzab eti huyu jamaa Yuko sahihi kweli?
 
Back
Top Bottom