Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
-
- #21
Kikubwa kuwa na misingi bora ya maisha, mke ana reflect vile ulivyo
Ivi ndugu hujawai kusikia wahenga wanasema,Asante kwa maoni yako.
Ila kwa mwanaume makini anakuwa na standards za mwanamke wa kumfanya mke wake wa ndoa
Haya Mambo Hayana Ushauri Babuuu
Mkiingia kwenye ndoa ndipo utajua uhalisia wa huyo mwanamke.
Huku nje kwenye uchumba kumejaa maigizo.
Huo Ushauri Alifanya Kwa Kizazi Kilichopita Sio Kizazi Hiki Cha Karne Ya 21. Kuishi Na Mke Hakuhitaji Ushauri. Ushauri Wa NDOA Ni Kichwa Chako Mwenyewe
I think cha muhimu ni kuhakikisha kwanza kama mwanaume una qualities zote za mume bora na baba bora na sio tu kuwa na uwezo wa kudindisha.
Achana na ndoa Fanya mambo mengine
Utapeli tuu
Umemaliza kila kitu mkuuNi kweli ndoa ni utapeli
Kwa sababu ndoa ni muungano wa mhuni na tapeli
Muhuni anataka awe na uhakika wa kuondoa upwiru muda wowote
Tapeli anataka apate unafuu wa maisha
Hivyo ukiamua kuishi naye zingatia hayo
Mkuu usiweke vigezo vingi
Sawa mkuuVichache tu tumeanza navyo vitatu