Wanaume tukumbushane tu mambo machache tunapochagua mke wa ndoa

Siku hizi kupata mke/ mume Bora Ni shughuli pevu Sana kwa Kweli.
Dunia imechafuka Sana.
 
Same applies to ladies
Wachagulie wanao baba bora, mkwe bora kwa wazazi wako, shemeji bora kwa ndugu zako, na best friend kwako.
Umewashauri wenzio vizuri Sana mkuu.This matter of marriage is a collective responsibility
 
akikuzidi kipato ndiyo utaelewa na vituko vinaanza akiwa na watoto wawili akikuzalia watatu amekuvumilia sana!
Tabia anayoonyesha baada kukuzidi kipato ndiyo tabia yake halisi jinsi alivyo. Wa aina hii haihitaji hata akuzidi kipato wewe fulia tu utaona

Ndiyo maana wengine hata akikuzidi kipato hawezi kubadilika kwa sababu siyo tabia yake.

Jiulize wale wanaowaoa wanawake wenye kipato zaidi yao au mabinti wanaotokea familia tajiri wanawezaje kuishi maisha ya ndoa
 
Kwa hiyo waache kuzingatia maokoto tu peke yake sio?
Money is an "irreducible minimum" of a man.Suala la pesa halihitaji kujadiliwa kwa sababu mwanaume lazima uwe na hela za kumhudumia mkeo.

Upo?
 
Msisahau kuangalia takko jamani.....

Nawakumbusha tu, sio kwa ubaya
 
Tabia anayoonyesha baada kukuzidi kipato ndiyo tabia yake halisi jinsi alivyo. Wa aina hii haihitaji hata akuzidi kipato wewe fulia tu utaona

Ndiyo maana wengine hata akikuzidi kipato hawezi kubadilika kwa sababu siyo tabia yake.

Jiulize wale wanaowaoa wanawake wenye kipato zaidi yao au mabinti wanaotokea familia tajiri wanawezaje kuishi maisha ya ndoa
ni swala la muda tu au ujifanye kondoo haswa kila utakaloambiwa ufate
 
Money is an "irreducible minimum" of a man.Suala la pesa halihitaji kujadiliwa kwa sababu mwanaume lazima uwe na hela za kumhudumia mkeo.

Upo?
Hilo liko wazi

Nilichomaanisha wanawake wengi wako radhi waolewe na a guy who's financially stable despite the fact he lacks qualities that make a man an ideal husband
 
Back
Top Bottom