Wanaume tulioko kwenye Ndoa, Backup ni muhimu sana.

Wanaume tulioko kwenye Ndoa, Backup ni muhimu sana.

Tembosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
5,037
Reaction score
4,932
Tahadhari: Si hamasishi watu kuchepuka.

Wakuu, ili kuwa na ndoa imara na itakayodumu! Jitengenezee backup yako ya kupiga mambo pale ambapo nyumbani kwako mambo hayaendi sawa.

Hii mbinu inasaidia sana.

Binafsi nitafanya hivyo ili kunusuru ndoa yangu na kuimarisha familia.

Few days ago nilikuwa na mgogoro kidogo uliodumu karibia mwezi mmoja na sina backup yoyote.
I struggled sana kwenye swala zima la utamu! Na inatesa sana.

Mgogoro umeisha ila, I should create a backup server!!
Sio kwa mateso yale...
 
Huwa hamuogopi hata magonjwa? Vipi hiyo backup yako (ambayo nayo ina backup zake zenye backup zenye backup zenye backup zenye...) ikikuunga kwenye gridi ya taifa nawe ukaja ukamuunga mkeo? Kama umeoa rafiki yako mshikaji anayejielewa na mmeshibana (kama mimi na Mama E), backups za nini tena kama siyo kwenda kujiunganisha na maroho mengine huko yatakayoleta mikosi kwenye ndoa na familia yenu; na hata kuwasambaratisha? Ya nini kumfungulia milango ya kiroho shetani?

➡️➡️➡️ Hakuna dhambi yenye gharama kubwa hapa duniani kama hii dhambi ya uzinzi! 📌
 
Huwa hamuogopi hata magonjwa? Vipi hiyo backup yako (ambayo nayo ina backup zake zenye backup zenye backup) ikikuunga kwenye gridi ya taifa ukamletea mkeo? Kama umeoa rafiki yako mshikaji anayejielewa na mmeshibana (kama mimi na Mama E), backups za nini tena kama siyo kwenda kujiunganisha na maroho mengine huko yatakayoleta mikosi kwenye ndoa na familia yenu; na hata kuwasambaratisha?
Sawa!
 
Back
Top Bottom