Sasa huyu wangu alijuaje sina alternative?Backup ya fedha ndio kila kitu.
Unaweza fanya chochote unachotaka kwa muda wowote.
Na hapo mwanamke akishakusoma kuwa ni ngumu kupata alternative hakuna rangi ataacha kukuonesha.
Huyu wangu, mgogoro ulitokana na mawazo kuwa nachepuka.Backup ya fedha ndio kila kitu.
Unaweza fanya chochote unachotaka kwa muda wowote.
Na hapo mwanamke akishakusoma kuwa ni ngumu kupata alternative hakuna rangi ataacha kukuonesha.
We uliskia wapi? Unajua mitume na manabii walikua na vipozeo nje ya wake zao?😁Ndoa ipo kiroho sana, japo wengi wanaona kimwili...
Sawa!Huwa hamuogopi hata magonjwa? Vipi hiyo backup yako (ambayo nayo ina backup zake zenye backup zenye backup) ikikuunga kwenye gridi ya taifa ukamletea mkeo? Kama umeoa rafiki yako mshikaji anayejielewa na mmeshibana (kama mimi na Mama E), backups za nini tena kama siyo kwenda kujiunganisha na maroho mengine huko yatakayoleta mikosi kwenye ndoa na familia yenu; na hata kuwasambaratisha?