Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

Isingelikuwa ni kuleteana magonjwa na watoto wa nje, mimi ningemruhusu akagongwe huko.
 
Wengine wana album nzima ya Ma-X...ukifwatilia utapata tabu sana
..mwanamke anaweza asichepuke na X vile vile na akaanzisha mahusiano mapya baada yako..
..muhimu timiza majukumu kama mume hayo mengine ni out of your control
Uzoefu ni kwamba mwanamke yuko radhi achepuke na x wake kuliko kuqnzisha mahusiano na mtu mpya
 
Kiporo kitamu mno kikipashwa moto! ma-ex hasa hasa yule alimyetoa bikra huwa ni rahis mno kumla! .

NB:
mwanamke atasahau vyoooooooote lakin hatosahau aliyemtoa bikra!
 
Boss, kwa hiyo kuchapiwa ni halali
Mkuu kwangu ni moja ya kosa ambalo halina msamaha, nikigundua kacheat namwacha. Ila kutafuta kutafuta history yake ya mapenzi kabla yangu, huo muda sina mkuu. Mambo ya kufanya ni mengi sana
 
Mkuu kwangu ni moja ya kosa ambalo halina msamaha, nikigundua kacheat namwacha. Ila kutafuta kutafuta history yake ya mapenzi kabla yangu, huo muda sina mkuu. Mambo ya kufanya ni mengi sana
hahaha sawa boss
 
Nimejitahidi kusoma comments kadhaa ila uzoefu wangu ni kwamba 99% ya wanawame walioajiriwa uwa wanaliwa na maboss ama stuff wenzao ama mfanyakazi wa sehemu nyingine either wanakutanishwa na lift au sababu yeyote,
Mwanamke amtumikiae mtu ni rahisi sana kulaghaiwa kuliko yule aliyejiajiri

Wanaume tujitaidi kuwafungulia biashara wake zetu ama tuwape ajiri sisi wenyew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…