- Thread starter
- #181
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And vice versa is trueIlikua zamani ambapo wanawake walijitunza sana sana na kuheshim wanaume wao sanasana.
Zaman kusikia mke wa fulan kaliwa, ilikua ni nadra.
Ila siku bwashehehehehehehe wanatiwa yaan siku hizi wake za watu wanatiwa mno.
duuuh hahahaIsingelikuwa ni kuleteana magonjwa na watoto wa nje, mimi ningemruhusu akagongwe huko.
Ndiyo tuombeane kuepukaramli tena😀😀
ukoje chiefDah.. Nimesoma uzi wote..
haha haya bhanaNdiyo tuombeane kuepuka
Maisha lazima yaendelee Mkuu.ukoje chief
Uzoefu ni kwamba mwanamke yuko radhi achepuke na x wake kuliko kuqnzisha mahusiano na mtu mpyaWengine wana album nzima ya Ma-X...ukifwatilia utapata tabu sana
..mwanamke anaweza asichepuke na X vile vile na akaanzisha mahusiano mapya baada yako..
..muhimu timiza majukumu kama mume hayo mengine ni out of your control
kabisa boss watu wengi hapa naona hawaelewi hiliUzoefu ni kwamba mwanamke yuko radhi achepuke na x wake kuliko kuqnzisha mahusiano na mtu mpya
Labda kama unauwezo wa kuachana nae ila kama hauna relax tu brother" Mind, the point is to discover them"
😀😀😀 hahahah mzee umenichekesha sanaLabda kama unauwezo wa kuachana nae ila kama hauna relax tu brother
Mkuu kwangu ni moja ya kosa ambalo halina msamaha, nikigundua kacheat namwacha. Ila kutafuta kutafuta history yake ya mapenzi kabla yangu, huo muda sina mkuu. Mambo ya kufanya ni mengi sanaBoss, kwa hiyo kuchapiwa ni halali
hahaha sawa bossMkuu kwangu ni moja ya kosa ambalo halina msamaha, nikigundua kacheat namwacha. Ila kutafuta kutafuta history yake ya mapenzi kabla yangu, huo muda sina mkuu. Mambo ya kufanya ni mengi sana
Haya maneno walinena akina nanKuchapiwa ni siri ya ndani,usitafute mchepuko wa mkeo,utakuja kupata ugonjwa wa moyo.
Wakati wa chakula cha usiku, gusisha kidole pale, muitikio wake utakujuza,mkuu leta huu ujanja hapa wengi tufahamu.
Ehee huwa unafanyiwaje katika kupimwa?