Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Tuombeane tu Mungu atusaidie na kutuepusha na hizo dhambi kwakweli,[emoji23]ndio ila wewe usichepuke, magunia ya mkaa yatakuhusu.
usionje kabisa huko nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuombeane tu Mungu atusaidie na kutuepusha na hizo dhambi kwakweli,[emoji23]ndio ila wewe usichepuke, magunia ya mkaa yatakuhusu.
usionje kabisa huko nje
mkuu leta huu ujanja hapa wengi tufahamu.sasa hilo unapaswa ufunzwe na msimamizi wa ndoa, hapa si vizuri kufundisha, ila kunakitu tunafanyiwa, kama umeguswa itajulikana tu.unataka nikuibie siri hapa jukwaani?
sasa haya maneno yanaelekea utashawishika siku moja😳Tuombeane tu Mungu atusaidie na kutuepusha na hizo dhambi kwakweli,[emoji23]
Haaaaa haaaa hamnasasa haya maneno yanaelekea utashawishika siku moja😳
She didn't mean that...😳 😳 hii tu ni sababu ya kumpa?
Sio kweli..Kwa nini lisiwe na msamaha? Kila mwanaume duniani anagongewa kungekuwa hamna msamaha si kungekuwa hamna ndoa dunaiani. Watu wake zao wanazalishwa kabisa na mwanaume mwingine na wanasamehe sembuse kugongewa tu na haondoki na chochote
All truths are easy to understand once they are discovered, the point is to discover themThere's no comfort in the truth
Pain is all you'll find
hiki kicheko🤭🤭🤭Haaaaa haaaa hamna
Duh! Ila alikiwa ashazaa nae mkuu?Kuna jamaa yangu mmoja, alimruhusu mke wake kutembelewa nyumbani na ex wake. Huwa natafakari sana, alikuwa na moyo gani?
Kipoje hicho kicheko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiki kicheko[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
KINADHIHIRISHA kabisa kuna kitu unataka kujaribuKipoje hicho kicheko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kupiga ramliKINADHIHIRISHA kabisa kuna kitu unataka kujaribu
ukikua utaelewa sasa hivi we gonga papuchi tuSio kweli..
They need solutionsAll truths are easy to understand once they are discovered, the point is to discover them
Msafiri mwenzio wa kudumu kwenye safari ya ndoamke ni msafiri mkuu?
Hapana, ni ex tu wala hakukuwapo kinachowaunganishaDuh! Ila alikiwa ashazaa nae mkuu?
" Mind, the point is to discover them"They need solutions
Boss, kwa hiyo kuchapiwa ni halaliMsafiri mwenzio wa kudumu kwenye safari ya ndoa
Mambo ya kimfuatilia Ex wa wife ili kitokee nini? Kila mtu ana deal na EX wake