Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

There's no comfort in the truth
Pain is all you'll find
 
sasa hilo unapaswa ufunzwe na msimamizi wa ndoa, hapa si vizuri kufundisha, ila kunakitu tunafanyiwa, kama umeguswa itajulikana tu.unataka nikuibie siri hapa jukwaani?
mkuu leta huu ujanja hapa wengi tufahamu.
Ehee huwa unafanyiwaje katika kupimwa?
 
Kwa nini lisiwe na msamaha? Kila mwanaume duniani anagongewa kungekuwa hamna msamaha si kungekuwa hamna ndoa dunaiani. Watu wake zao wanazalishwa kabisa na mwanaume mwingine na wanasamehe sembuse kugongewa tu na haondoki na chochote
Sio kweli..
 
Back
Top Bottom