Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

We jamaa umenichekesha sana mpaka simu imendoka na kupasuka kioo kidogo
 
Mimi mwenyewe nimewahi tafuna ma ex wangu ambao wana mahusiano mengine.
Hii kitu inaninyima nguvu kabisa nikiwaza na mimi manzi wangu anatafunwa na maex wake. Lakini cha muhimu uhai tu na nisijue kama analiwa.
 
Huo muda wa kuchunguza wew utumie kwa kutafuta pesa, dunia haiko fair ndio maana yenyewe tu ina mabonde na milima
 
Uzi mtamu huu mpaka kichogoni hahahaha

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
unajua dhambi isiyosameheka kwenye ndoa, ni mke kuliwa nje?
Huu msemo mnausema sema tuu hapa jukwaani kwa ajili ya sifa.....usionekane mjinga......kujipa moyo....na wachache sanaaa ndo wako real.

Asilimia kubwa ya wanawake wenye waume wanaoshinda bar ....wanachit.

Wanaume wanaoendekeza uhuni....wake zao pia wanachit

Wanaume wa masafa marefu ....kuna kiasi pia wake zao ni mle mle...maana wengi wao nao ni mule mule

Wanaume waliooa wamama wa home ....wasiotoka kabisaaa..unashangaa siku ya clinik anajipambaaaa kama anaenda event ...nao baadhi wanamaliza humo humo..

Wanaume walinzi,maaskari pia wanajeshi wake zao ndo usisemee....tena wanajeshi wake zao ndo kichaa kabisa.

Wafanyabiashara ndo huuuuu......wake zao wengi ni kitalolo kabisa. Muda mwingi mume anawaza credit and loss acc....

Watu wanafumania, wanafumaniwa,, wanaona ushahidi wazi wazi....wanatafutana wanaonyana maisha yanaenda.


NDOA ZIPO NA ZITAENDELEA KUWEPO. Hata kama ni kibishi bishi.

NAWAZAGA.....hivi wanaume wa JF ndo hawa hawa wa mtaani au ?

Au JF ni chi? ..

Haya mambo yabaki tuu kwenye maandishi na ID fake ...
 
Kwa nini lisiwe na msamaha? Kila mwanaume duniani anagongewa kungekuwa hamna msamaha si kungekuwa hamna ndoa dunaiani. Watu wake zao wanazalishwa kabisa na mwanaume mwingine na wanasamehe sembuse kugongewa tu na haondoki na chochote
Bahati mbaya tuu wewe ni funza. Ila ulichoongea hapa ndo uhalisia....

Watu waajabu sana....huku aseme anapasha viporo....mastori mengine ya kujisevia wake za watu....

La ajabu hataki wake afanyiwe anavyowafanya wengine.

Hiyo kanuni haipo.
 


Huwa wanajifariji tu kwa maandishi huko mtaani kwao mambo hayako hivyo!
 
Kuoa muda mwingine ni kujifedhehesha tu, no wonder DC na DED wa Dodoma hawajaoa,yawezekana wanajua kua watu wanaowaheshimu kwasasa, wanaweza wakaja kuwadharau kupitia tabia za umalaya za wake zao.
 
Ukibaini kuwa anachepuka huna budi kumuarrest na kumpa kipigo heavy.
Kumpiga haisaidii,comment yako imenikumbusha miaka ya 97 nilikuwa namla mke wa jirani yangu jamaa yake alihisi kitu,sasa siku moja akampa kipigo heavy huku akimtuhumu kuwa mm namganga,,baada ya kipigo kile muda huohuo jamaa akachukua baiakeli yake akaelekea center, na mwanamke wake akiwa bado analia alikuja moja kwa moja mpaka ndani kwangu na kunaiambia kuwa mmewe amempiga eti kisa kutembea nae,akasema nitom...be sasa na simpi K mpaka aniombe msamaha,,
Alifunua nguo kwa juu nikala mzigo akarudi kuemdelea kulia
 
Hoja yako ni ipi mkuu?

Halafu wewe ni me au ke? Bado sijafahamu logic yako ni ipi haswa
 
Huo muda wa kuchunguza wew utumie kwa kutafuta pesa, dunia haiko fair ndio maana yenyewe tu ina mabonde na milima
Wewe umejuaje Kama pesa ni tatizo....

Angalia kinachozungumzwa hapa pesa kila mtu anajua anavyozitafuta
 
Oa mwanamke anaekupenda kweli.usioe ilimradi tuu sabab jamii inakutaka uoe.take time kutafta anaekupenda...

Weng mnaoa wanawake ambao wanamahitaj ya ndoa na sio ndo.weng wanakua hawawapend.wanaolewa kuweka heshima tuu.yaan anajua kabisa hakupend.akikuangalia sometime had anacheka ila ndo hvo anajua anakula analala usafir nin.maisha mazur.ila hakupe nd.so usitegemee hata sku 1aje akutane na x wake wa chuo waliopendana halaf atoke salama
 
Unadhani hili ndio suluhisho la kuchepuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…