muyakb24
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 412
- 290
We jamaa umenichekesha sana mpaka simu imendoka na kupasuka kioo kidogo
Vile nilvyokuwa kitombi ... Hiiiii na kwao wana kipato dingi yake amestaafu mkurugenzi shirika LA bima LA taifa... Una wako nna wangu tumefunga ndoa ... Tuzae wetu.... Mpaka sasa tuna wa3 .. Mmoja wake mmoja wangu .. Huyu sasa wa3 ndio ilikuwa kizungumkuti ... Nimepiga mzigo hiyo wiki ikatokea msiba kwao tukaenda .. Tumerudi Mara haoni haoni siku... Nkamwambia tu mama hata kama mna hela kwenu huyu si wangu... Ila kwa kuwa tumeona nna mtoto na wewe ulikuwa una mtoto ..Najua ratiba yako .... Aliliaaaaa yaani mpaka huruma .....mtoto namlea maana namuona ni Kama wa Dada zangu wefariki wameniachia watoto wao jumla wa3 ... Ndio maaana nasemaga ndoa ni taasisi ngumu Sana ... Sisi wanaume Tunawagonga wanawake wangapi!!! Wangezaa wote mkeo angewapokea!!