mkuu weka sentensi nipate kukuelewa vizuriNikigundua na kupata ushahidi maridhawa,anakwenda tu,na yeye anajua kuwa jamaa hanifuatilii,Ila akigundua ndo byebye
Na mnavyojua kuteteana sasa, ila mawasiliano ya siku hizi yanaficha mengi hakuna mtu wakati watu wanalipiziana kimya kimya tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanaume wa kiafrika ndio zetu, lakini mke akichepuka hilo kosa malaika pekee ndio watakaotoa msamaha
mke ni msafiri mkuu?Hivi mkuu ukisafiri na mtu basi moja, huwa unataka kujua safari za nyuma kabla ya kukutana nae kwenye basi?
huo ndio ukweli, ni vigumu sana mwanaume kutokuchepukaNa mnavyojua kuteteana sasa, ila mawasiliano ya siku hizi yanaficha mengi hakuna mtu wakati watu wanalipiziana kimya kimya tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka ujue mkuu tayari alishakuchoka ni ngumu kujua, watu wanamiliki michepuko mitala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mme yupo anahangaika huko na michepuko yake muda wa kua na mke hana yupo yupo tu huko nje huku kwake naye anasaidiwa haaa haaaNikigundua na kupata ushahidi maridhawa,anakwenda tu,na yeye anajua kuwa jamaa hanifuatilii,Ila akigundua ndo byebye
Lakini hata kama akichepuka basi kwa akilihuo ndio ukweli, ni vigumu sana mwanaume kutokuchepuka
Mpaka ujue mkuu tayari alishakuchoka ni ngumu kujua, watu wanamiliki michepuko mitala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mme yupo anahangaika huko na michepuko yake muda wa kua na mke hana yupo yupo tu huko nje huku kwake naye anasaidiwa haaa haaa
1.Mimi nanunuliwa na mme wangu.Swala la kuvaa umemnunulia mke viwalo kashindwa kuvaa? Kipotable kwa hiyo umri hautaongezeka na hao watoto anaozaa anawatunzia wapi mpaka waje kuonekana duniani? Acha ubinafsi mwanamke naye binadamu siku nawewe ukayumba kiafya nawewe uwekwe pembeni!
ndio ila wewe usichepuke, magunia ya mkaa yatakuhusu.Lakini hata kama akichepuka basi kwa akili
Ila kweli, dah we jamaa unawaza mbali sana, ila ina maana huwa humpimi mkeo sehemu zake za siri? yani unaishi nae tu kienyeji?hapo sawa lakini ile kufatilia simu ya mkeo haha, mara unakutwa kaombwa tigo na kakubali kutoa
ujue siku zote nilijua wewe "me"1.Mimi nanunuliwa na mme wangu.
2. mimini ki-potable.
3. nina watoto 4 na sina tumbo, najua kipi nile kipi niache sasa nyie endeleeni na machips yenu huko ya mafuta ya transformer.
4. Kuzaa kusilete udhuru eti lazma ufutuke, huo ni utapia mlo ndiyo maana hata COVID-19 imeondoka na watu wengi wanene, hujapata tu jibu unene ni utapia mlo?
Hizo Ma-X ni haki zetu,zinaitwa"accumulated fringe benefits". Ni mrahaba halali kbs kwa kukufungulia njiaTuliooa tusijifariji, asilimia kubwa wake zetu wanachepuka na ni ngumu sana sisi wanaume kugundua.
Mwezi uliopita tu nimeshuhudia rafiki yangu wa karibu kabisa na wa tangu utotoni anamla Ex wake alieolewa japo walikuwa mbalimbali kwa miaka zaidi ya 4. Tulikuwa mkoani kikazi na mwanamke alirudi kwao kusalimia baada ya jamaa kupata habari Ex wake waliyekuwa wanapendana karudi kijijini kwetu kusalimia akamvutia waya wakazungumza waliyozungumza.
Mwanamke akapanga safari kuja mkoa tulipo (ni mkoa jirani tu kutoka mkoa wa kijijini kwetu), aliondoka kwao akiaga anaenda kwa dada yake kumsalimia ambae anaishi mkoa tulioko kwa muda huo, nadhani hata mumewe aliambiwa hivi.
Baadae nilikuja kugundua kupitia kwa rafiki yangu, Dada mtu alielezwa kila kitu na huyu ndugu yake kwa hiyo alikuwa ni refa mzuri sana kwenye hii mechi ili isijulikane uovu wa ndugu yake..., ni kwamba huyu rafiki amekula mzigo wa huyu Ex wake kila siku alipokuwa anapata nafasi kipindi chote tulipokuwa hapo mkoani mpaka tunaondoka.
Hawa watu sio maskini, wote wako vizuri kiuchumi sio jamaa yangu, huyu Ex wake wala mume wake Ex useme labda ni shida zimepelekea haya.
Japo hata mimi siwafahamu kabisa ma-Ex wa mke wangu lakini hili limenipa funzo kwamba yawezekana hata wangu analiwa kimfumo huu.
nimpimejeπ³?Ila kweli, dah we jamaa unawaza mbali sana, ila ina maana huwa humpimi mkeo sehemu zake za siri? yani unaishi nae tu kienyeji?
tuache hayo, sisi wtunapenda wanaume wasio na kitambi ama bonge nyanya, nakumbuka nikiwa Kibosho Girls miaka hiyo nilipata mwanaume alikuwa mchaga anasoma Uru seminari na alikuwa half-cast,alikuwa bonge flani dah kwenye shughuli unamuonea huruma, yaani anahema, anatoka jasho mpaka mawazo kwamba anaweza akafia hapo yanakuja, ila nlipoolewa na ki-portaable ndio nikajua wembamba wa reliujue siku zote nilijua wewe "me"
π π π πtuache hayo, sisi wtunapenda wanaume wasio na kitambi ama bonge nyanya, nakumbuka nikiwa Kibosho Girls miaka hiyo nilipata mwanaume alikuwa mchaga anasoma Uru seminari na alikuwa half-cast,alikuwa bonge flani dah kwenye shughuli unamuonea huruma, yaani anahema, anatoka jasho mpaka mawazo kwamba anaweza akafia hapo yanakuja, ila nlipoolewa na ki-portaable ndio nikajua wembamba wa reli
sasa hilo unapaswa ufunzwe na msimamizi wa ndoa, hapa si vizuri kufundisha, ila kunakitu tunafanyiwa, kama umeguswa itajulikana tu.unataka nikuibie siri hapa jukwaani?nimpimejeπ³?
wewe huwa unapimwa?
Ujue kuwa ki-potable sio kama ndiyo ticket ya kumtuliza mtu kila mtu anapenda mtu wake awe vipi mwingine hataki mnene mwingine mwembamba, na mwili wengine ni maumbile tu, kuna mwingine hata aishi maisha gani ale vyakula vipi yeye akila vyote vinaishia chooni tu,unaweza kuta mnene anakula kiasi na mwembamba ni mashine inakoboa na kusaga best unaweza kuwa kipotable na ukaachwa vile vile1.Mimi nanunuliwa na mme wangu.
2. mimini ki-potable.
3. nina watoto 4 na sina tumbo, najua kipi nile kipi niache sasa nyie endeleeni na machips yenu huko ya mafuta ya transformer.
4. Kuzaa kusilete udhuru eti lazma ufutuke, huo ni utapia mlo ndiyo maana hata COVID-19 imeondoka na watu wengi wanene, hujapata tu jibu unene ni utapia mlo?