baloz89
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,224
- 1,800
tangia hapo na mim nikaanza kuwapasha!.....kumbuka wapasha viporo huwa wanapga show za rambo sasa hapo ndipo pabaya!Haha wewe jamaa pimbi kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tangia hapo na mim nikaanza kuwapasha!.....kumbuka wapasha viporo huwa wanapga show za rambo sasa hapo ndipo pabaya!Haha wewe jamaa pimbi kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]1 in 100 mkuu mie nayaelewa sana hayo mambo
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwa hali hii kuna kuoa kweli? Mbona kama mnatutisha wakuu
Ukitaka presha Kama umeoa na ufe mapema, Nenda kapime DNA wanao uliozaa na mkeo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hii stage hutakiwi kuruka, oa tu chief ,
Wanawake wana siri nzito, zingine wako radhi wazikwe nazo,,
😃😃😃tangia hapo na mim nikaanza kuwapasha!.....kumbuka wapasha viporo huwa wanapga show za rambo sasa hapo ndipo pabaya!
Hahahaonce mkeo au wewe ukipasha kiporo hakika hakita chacha na hauta acha kula daima kwa kuwa ni kitamu na mapenzi ya siri ni matamu sana mana mnafanya kila aina ya uchafu kwakuwa mnajua ni siri yenu na mnaona ni kuburudishana tu , kikubwa cha kufanya ni kuwa msiri zaidi kwa watu wako . ila HAKUNA KIPORO KITAMU KAMA CHA WALI NA MAHARAGE nadhani tumeelewana.
Pole mkuu kwa majibu uliyopata,Ukitaka presha Kama umeoa na ufe mapema, Nenda kapime DNA wanao uliozaa na mkeo
Alafu ukishampa kipigoUkibaini kuwa anachepuka huna budi kumuarrest na kumpa kipigo heavy.
Aiseee yaani kitu ambacho sitoweza ni kumpiga mwanamke baada ya kumfumaniaUkibaini kuwa anachepuka huna budi kumuarrest na kumpa kipigo heavy.
Ni uzembeAiseee yaani kitu ambacho sitoweza ni kumpiga mwanamke baada ya kumfumania
DuuuhNdoa ni zaidi ya sex, afu hayo mambo ya sex kwenye ndoa mi naonaga ni ya mpito tu muache aruke ruke age itaenda atakituliza atakufa habari itaisha
Ni uzembe kutompa kipigo au?Ni uzembe
Kumpa kipigo sio njia yakufanya mtu abadirikeNi uzembe kutompa kipigo au?
Utauwa Bure uozee jelaKumpa kipigo sio njia yakufanya mtu abadirike
Naunga mkono hojaSio kuliwa tu anafumuliwa marinda kabisa!
Wewe tafuta anaye kufaa usitishike na haya maneno, wanaongea tu lakini uwezo wa kutoka hawana,Na pia inaogopeshaa....hasa kwa ss tulio mbioni kuoa,