Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

once mkeo au wewe ukipasha kiporo hakika hakita chacha na hauta acha kula daima kwa kuwa ni kitamu na mapenzi ya siri ni matamu sana mana mnafanya kila aina ya uchafu kwakuwa mnajua ni siri yenu na mnaona ni kuburudishana tu , kikubwa cha kufanya ni kuwa msiri zaidi kwa watu wako . ila HAKUNA KIPORO KITAMU KAMA CHA WALI NA MAHARAGE nadhani tumeelewana.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Hii stage hutakiwi kuruka, oa tu chief ,

Wanawake wana siri nzito, zingine wako radhi wazikwe nazo,,
Ukitaka presha Kama umeoa na ufe mapema, Nenda kapime DNA wanao uliozaa na mkeo
 
once mkeo au wewe ukipasha kiporo hakika hakita chacha na hauta acha kula daima kwa kuwa ni kitamu na mapenzi ya siri ni matamu sana mana mnafanya kila aina ya uchafu kwakuwa mnajua ni siri yenu na mnaona ni kuburudishana tu , kikubwa cha kufanya ni kuwa msiri zaidi kwa watu wako . ila HAKUNA KIPORO KITAMU KAMA CHA WALI NA MAHARAGE nadhani tumeelewana.
Hahaha
 
Ndoa ni zaidi ya sex, afu hayo mambo ya sex kwenye ndoa mi naonaga ni ya mpito tu muache aruke ruke age itaenda atakituliza atakufa habari itaisha
 
Ukibaini kuwa anachepuka huna budi kumuarrest na kumpa kipigo heavy.
 
Back
Top Bottom