Wanaume tuliowahi kupata gono tukutane hapa

Wanaume tuliowahi kupata gono tukutane hapa

Mbona mnawasingizia wa manzese jamani ? Mie gono la kwanza nilipatia harare, la pili mwanza gono mara ya tatu nilipatia kijichi
Uko kote ulikuwa unazulula kutafuta gono lilokolea sana 😂😂 ila bado tuzo moja tu ya ukimwi
 
Yani hadi mnajua la wapi ni kali😂😂@Mzee wa kupambania hebu njoo utoe ushuhuda maana we ni mwanaharakati mbobezi
😅😅 la dom kaa nalo mbali, nimezunguka sana hii tanzania.. nimepita kwingi sana.. ila nikajikuta dom kitu kimeitikaaa.. hadi nikaamua kuitoa kabisa kwenye orodha yangu ya kutuliza moyoo huwa napaona kama ebora
 
Piga kelele kwa dom yake wewe😂😂😂itabidi miji yote iwe hivyo ndo mtaacha umalaya
 
Nshameza kimoja asubuhi nasubiri kingine jioni 😎
 
Attachments

  • 20230506_092728.jpg
    20230506_092728.jpg
    1 MB · Views: 31
Piga kelele kwa dom yake wewe😂😂😂itabidi miji yote iwe hivyo ndo mtaacha umalaya
😅😅😅 msitufanyie mtima nyongo sasaaaaa... kwingine naona fresh maana wengine sie ni team nyama nyamaa nayamaa nyamaa tuuu.. ingekuwa kila mahala si tungeanza tembea na vichupa vya dawa na sindano ... unajipiga dose tu
 
Back
Top Bottom